Kwa Zena hatoki ntu?

Kwa Zena hatoki ntu?


Yule bonge yule....kwanini lakini? Amekimbiaje na mtaji wa watu...ila kwa mbali wajinga ndio waliwaoπŸ¬πŸ¬πŸ¬πŸ¬πŸ¬β›…β›…β›…β›…β›…β›…β›…β›…πŸ˜΄πŸ˜΄πŸ˜΄πŸ˜΄πŸ˜΄πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Du! Nisije furahi nikatumi Kodi ya mwenye nyumba alafu kumbe nyumba haijaisha.
Smurf 🧚🏻_♀️ (@Smurf_Nita) on X.jpeg
 
Ishu ni dipu sana Ila pia kuna asilimia nyingine nyingi kwamba ni zilezile bongo movie kuelekea 92OM
Karata zilichangwa na bwana tabasamu ili no 2 akae damu yake.. Ilk ndoto ilitimie ama itimizwe kwa by fosi by pawa.. Si mnakumbuka ile ngoma ya ...Ongea na mshua? Street noma kimenuka?

Sasa haya mafyekele ya cheusi bonge kuchomeka kuzidi makaa ya mawe yaliyounguzwa! kumewaumiza wengi sana .. Maaana kwenye kikoba chao, cheusi bonge ndio alikuwa kijumbe

Shida moja ya kikoba.. Kijumbe ndio hukaa na mshiko wote.. Sasa cheusi kachomeka kuzidi mkaa na hajaacha wosia wa kibubu kilipo🀣
Waswahel wanasema kufwa kufaana.. Hakuna aliyekubali kwamba anajua kibubu kilipo hata baada ya kufunga safari ya siri ili akaambulie walau masalia.. Wakamwambia hakuna hata senti mbovuπŸ€£πŸ™ŒπŸΏπŸ˜­

Hata wewe ungetamani ardhi ipasuke mapande mawili ujichimbie..kijumbe kawaweza wengi... Wengine milango ya mbele imeshapindika kwa taharuki

Sasa bwana tabasamu angefanikiwa kamari yake angeshatangaza hali tete.. Kwenye hili anastahili pole maana hakupigwa chenga ya mwili tuu bali mpaka ya kivuliπŸ˜€
Pande alilopasiwa masikio ya popo.. Limemuumiza mno bwana tabasamu maana ingekuwa sasa meno 32 yote nje.. Maana ingekuwa kama kumsukuma mlevi tuπŸ™ŒπŸΏπŸ€£

Vichogo vimepigwa bao la maudhi.. Taharuki ikiisha turudi uwanjani

Whatever the case.. Kitanda alichomaluzia mwendo mwingine si vema kumlaza mfuatizi.. NI UCHURO..!!!

Ishu ni dipu sana na fukuto linazidi kila uchao..😎


View: https://www.instagram.com/reel/DeNXedeTxAN/?vrfl=MTQ2ZmFybm5jOWI5bw==

Duh πŸ™„ !
Ni mwendo wa manundu manundu tu !
Asali ni tamu lakini kuipata kwake ni shughuli 😳 !
Na kwenye mzozo na vijana wao nahisi upo mkono wa mr tabasam πŸ˜³πŸ™„ !
 
Hata kama si kweli, ukiona watu wanafurahia kifo cha mwanadamu mwingine basi kuna shida kubwa..Kwa asili yetu hata tukikutana na misiba njiani huwa tunaungana na ndugu kuwafariji, tena hatumjui marehemu wala mfiwa.

Wakati mwingine sio kwa sababu umetumia mikono yako kuua ila je walipouliwa wengine ulisemaje!! ama ulifanya nini kwa nafasi yako?... KARMA!
 
. ,nimetembelea mjini x
.mjini Instagram
Pote pamoto Kila mmoja ana fraha kama ni kweli .

Kama taifa hii ni hatari sana .

Wenye mamlaka wajipime na wajitafakari sana
 
. ,nimetembelea mjini x
.mjini Instagram
Pote pamoto Kila mmoja ana fraha kama ni kweli .

Kama taifa hii ni hatari sana .

Wenye mamlaka wajipime na wajitafakari sana
50 to 60 % inawezekana night yale maigizo yao kwa lengo maalum
 
50 to 60 % inawezekana night yale maigizo yao kwa lengo maalum

Uko sahihi kabisa, hayo maigizo na cheap propaganda ndizo zinazozua taharuki nchini. People need to stop playing these staged games na kuanza kutoa taarifa zenye ukweli na uhakika for the safety of our nation."
 
Back
Top Bottom