Kwa yule aliyeniulizia

Kwa yule aliyeniulizia

Nimeona kuna sehemu kamind kaamua kujibu na id nyingine [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Nimeona uvumilivu umemshinda halafu akiangalia id aliyokuja nayo ameshalog out online yupo kwa id nyingine atafanya nini sasa bora ajibu
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Nimeona uvumilivu umemshinda halafu akiangalia id aliyokuja nayo ameshalog out online yupo kwa id nyingine atafanya nini sasa bora ajibu
🤣🤣🤣 Yani nimecheka balaa
 
[emoji23][emoji23][emoji23] jf unaweza ukagombana na mtu unashangaaa id zitakazokushambulia tena mpya unajiuliza hawa wametokea wapiii kumbe ni mtu mmoja
😂😂😂😂 Na mi nashangaa alafu ukichunguza wote wanaongelea kitu kimoja..!!
Yani huyu akisema iki, na id nyingine inasema kile kile.!!!
Ukimtukana zile id nyingine zinakuja kujibu na kupeana support na zote story ni ile ile 🤣
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Na mi nashangaa alafu ukichunguza wote wanaongelea kitu kimoja..!!
Yani huyu akisema iki, na id nyingine inasema kile kile.!!!
Ukimtukana zile id nyingine zinakuja kujibu na kupeana support na zote story ni ile ile [emoji1787]

[emoji1787][emoji1787] Hapo sasa ndio wanapoharibu hawawezi kubadilisha mada kabisa wameshakariri kimoja
 
Back
Top Bottom