Kwa yule aliyeniulizia

katoto kazuri

JF-Expert Member
Feb 10, 2018
6,083
5,659
Hello Jf ,
I hope nyie ni wazima mie mzima pia .
Due to circumstances fulani ikiwemo watoto na familia kwa ujumla kuwalisha,kuwatafutia vitu vingi mie nimeamua kutoka humu.

Mie sintokuwa humu sana sana. Ila jf ziliingia notifications nyingi kwenye simu nikasema ngoja nione nini.

Nawatoto nafamilia siwezi kuwa busy huku nafuatilia umbeya na matusi . Umri unasonga na mtu majukumu yanazidi.

Happy new year and more to comes
 
Tuma na ka-picha basi 🤒🤒
Nimeituma kwa niaba yake
1707222902978.png
 
Back
Top Bottom