Naelewa mkuuu ila si unajua kuna mambo ya mialiko na vitu vingine vingi vyaku support safari yko na hapa bongo ubaloz wa Poland upo. I just find somebody who knows somebody ambae anawez saidia kufanikisha hili zoezi languMkuu visa haitolewi na travel agent. Nenda ubalozini. Kama hakuna ubalozi wa Poland nchi uliyopo na kama Poland ipo ndani schengen utaomba kwenye ubalozi wa nchi yoyote iliyo ndani ya schengen.
Kikubwa uwe na documents zote zitakazo support maombi yako.
Kila la kheri
Viva tower traveling agent Yuko mmojaViva tower floor ya ngapi/jina la kampuni anayofanyia kazi kama unamawasiliano yake naomba nipatie utakua umeni saidia sana
Mambo ya Warsaw. Mkuu kuna deal gani. Samahan lkn.Nashkur sana mkuu na barikiwa mpaka ushangae.