Kwa yoyote atakae nisaidia kupata visa ya Poland nitampatia $500

Emmet

Member
Jan 18, 2019
82
167
Habari za mda huu waungwana!!!

Kama title inavyo jieleza hapo juu, nina shida na visa ya Poland na kwa atake nisaidia kuipata ntamlipa/nitanzawadia kiasi cha $500.

Kama wewe ni travelling agent au mtu ambae unaweza kunipatia msaada wa moja kwa moja tafadhali naomba uni pm. Kama kutakua na gharama zozote za ziada zitakua juu yangu asante.
Screenshot_20200623-012633_Currency%20Converter.jpg
 
Mkuu visa haitolewi na travel agent. Nenda ubalozini. Kama hakuna ubalozi wa Poland nchi uliyopo na kama Poland ipo ndani schengen utaomba kwenye ubalozi wa nchi yoyote iliyo ndani ya schengen.

Kikubwa uwe na documents zote zitakazo support maombi yako.

Kila la kheri
 
Wala usipate shida nenda viva tower pale kuna Dada muhindi anafanya shuhuri hizo faster tu
Viva tower floor ya ngapi/jina la kampuni anayofanyia kazi kama unamawasiliano yake naomba nipatie utakua umeni saidia sana
 
Mkuu visa haitolewi na travel agent. Nenda ubalozini. Kama hakuna ubalozi wa Poland nchi uliyopo na kama Poland ipo ndani schengen utaomba kwenye ubalozi wa nchi yoyote iliyo ndani ya schengen.

Kikubwa uwe na documents zote zitakazo support maombi yako.

Kila la kheri
Naelewa mkuuu ila si unajua kuna mambo ya mialiko na vitu vingine vingi vyaku support safari yko na hapa bongo ubaloz wa Poland upo. I just find somebody who knows somebody ambae anawez saidia kufanikisha hili zoezi langu
 
Viva tower floor ya ngapi/jina la kampuni anayofanyia kazi kama unamawasiliano yake naomba nipatie utakua umeni saidia sana
Viva tower traveling agent Yuko mmoja
Nafikiri ghorofa ya pili hivi..kama sikosei
Ni Ile floor baada ya floor ya CRDB bank..
Fika crdb bank nenda floor inayofuata
Uliza travel agent hapo
 
Pale CRDB azikiwe kuna kituo fulani cha mafuta sikumbuki kinaitwaje ila kuna stationary/internet cafe kuna wataalamu wa kuombea watu viza unalipa 50,000 wanakufanyia application unapata viza hio
 
Poland miaka yanyuma ilikua ni nchi ya uchumi wa chini sana km Romania ,lkn naona sasa hv imepaa ipo nafasi ya 27 GDP kidunia na kwa ulaya ipo nafasi ya10
 
Back
Top Bottom