Shukran sana kwa jibu , hata mm nilijua hilo, lakini unaweza nisaidia hapa chini wana maana ya nini ?Ni propagated vegetatively
Hazina mbegu kama mahindi
Bali wanatumia suckers and bulbils
Hii link ni ya nini..??Shukran sana kwa jibu , hata mm nilijua hilo, lakini unaweza nisaidia hapa chini wana maana ya nini ?
Wholesale Sisal Seeds Of Popular Vegetable Varieties - Alibaba.com
Shop outstanding sisal seeds in edible and industrial grades on Alibaba.com. Hand-picked intact sisals seeds at economical prices are available on the site.www.alibaba.com
Umejibu Vema Na Hakuna Jibu Lolote Zaidi Ya HiliNi propagated vegetatively
Hazina mbegu kama mahindi
Bali wanatumia suckers and bulbils
Sorry kuna mtu amenipa hiyo link anadai zipo mbegu za mkonge na zinauzwa kutoka CHINA ndipo na mm nikawa na mashaka nikaomba nijiridhishe hapa kama ni kweli au ni nini hicho ?Hii link ni ya nini..??
Ok...Sorry kuna mtu amenipa hiyo link anadai zipo mbegu za mkonge na zinauzwa kutoka CHINA ndipo na mm nikawa na mashaka nikaomba nijiridhishe hapa kama ni kweli au ni nini hicho ?
Sio vinginevyo , je kwa hivi karibuni ulishawahi kusikia chochote ? maana technolgy hubadilika kila kukicha ? ? usichoke mkuu