Abu Ubaidah Commando
JF-Expert Member
- Sep 8, 2016
- 7,593
- 6,934
Japo haters wa Trump hawataki kukiri, Ila ukweli biden amefeli Sana.
Marekani Kuna mfumko mkubwa Sana wa bei, kuliko kipindi Cha Trump, kwenye border Biden ndo ameboronga kabisa.
Chini ya Trump Marekani ilitengeneza most secured border, yaani uhamiaji wa hovyo ulipungua mno, Trump alidhibiti kweli uhamiaji.
Jinsi Biden alivyojiondoa Afghanistan ni kituko. Kwenye mitandao watu wanammiss Sana Trump, na ukifatilia sahivi mikutano anayoitisha Trump ya Save America jamaa bado anakubalika Sana.
Kwenye Republicans hakuna wa kum-difeat Trump, kazi itabaki kwa wananchi
Vyovyote itavyokuwa sawa tu,,,mabeberu hawa2saidii chochote.