Kwa yaliyotokea, Wanawake jifunzeni

BUMIJA

JF-Expert Member
Oct 19, 2011
5,818
11,001
Kwa yaliyotokea wanawake tambueni kwamba pesa katika mapenzi ni sehemu ya maisha.

Umaskini sio mzuri ila msipende kumkimbilia kuolewa na msiyemjua kiundani.

Tukishaona utajiri basi tunakua vipofu.

Mnatumia fedha za watu halafu bado mnapepesa kwengine.

Ukiona huwezi kuolewa kuwa Danga la taifa
 
Ka

Kabxaa bora hiyo ya kuwa danga la yaifa ..tutafanya hata namna kuwapigia debe serikali iwape vitambulisho kama vya umachinga
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom