Kwa yaliyonikuta sifikirii kupenda tena

Kwa yaliyonikuta sifikirii kupenda tena

kumbe tatizo ni wewe.sio huyo demu.mnapewa game mnachza chini ya kiwango.mwanamke hatak pesa zako bali kumlidhisha kimapenzi.jilaumu mwenyewe.game karibu tatu umepoteza.lazma ushuke daraja
 
Kiukweli umedhalilisha sana taaluma,Chuo kikuu ndo unaandika haya????DISCO inakuhusu aisee!!!
 
Pole dogo,mapenzi hayana shule wala chuo,soma ukimaliza utapata muda wa kutosha kufanya utakayo,na yupo utakae endana nae,huyo alisha anza kuchapwa long tena na watu wazima wazoefu,achana nae.
 
Nakumbuka Enzi zilee nikiwa O-Level kuna mgumu mmoja alikuwa anatumia PAPAI unalikata kwa mbele kidogo halafu unamdumbukiza MENDE,Hebu tumia ushauri huo achana na hao mademu sio saizi yako we bado mdogo.
 
Pole kwa yalokukuta but usijali you will get another because people comes peoples go.
 
nimekuta herufi X badala ya S...nikiri wazi sijaendelea kusoma alichoandika huyo dogo,nafikiri muhimu ni wewe endelea na shule ukishakuwa mkubwa ndio uanze haya mambo.....

Mkuu upo km mm, nikishakuta story imetumia X badala ya S huwa naona ni ya kitoto na huwa sihangaiki kuisoma!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom