Kwa yaliyonikuta sifikirii kupenda tena

Kwa yaliyonikuta sifikirii kupenda tena

Pamoja na kuwa sijaisoma hii mpaka mwisho.....

Kama umeweza kuandika neno xana, umeshindwaje kuliandika kiufasaha???
Kwa nini uweke "x" badala ya "s????"
 
Hili jukwaa ni kwa ajili ya watu wazima tu na hata HII JAMIIFORUM NI kwa watu wanaojielewa pekee ambao HAWAJIELEWI NA AU HAWAJITAMBUI NADHANI KUNA mtandao wao wa kijamii ex facebook n.k,
Pili KAMA UNATAKA ANGALAU UWE UNAANZISHA THREAD NA AU UNACHANGIQ ANGALAU NAWE UNAKOMAA AKILI KIDOGO BASI ACHA MARA MOJA HAINA YA UHANDISHI WAKO NA LUGHA ZA MTAANI ZIISHIE HUKO HUKO.ktk hili jukwaa sana inaandikwa sana na SIO XANA!MANENO YOTE UNAYOYAANDIKA UHANDISHI WAKO LAZIMA YAZINGATIE HAYO KINYUME NA HAPO HUKU HAKUKUFAI.

We nae ndo wale wale,na kujitapa kwako kooote kama mwalimu wa zamu kakamata wachelewaji hampishani na huyo dogo.Jifunze kuandika haya maneno ndo usahihishe wenzio "KATIKA" na "UHANDISHI".Pia hata alama za uandishi maana upo kama unahara vile.

Mwisho,ushauri wako tu nao ni kama mtu asiyejielewa.
 
uhandishi wako 2 unaonyesha ni jinsi gani hujui kuandika hata lugha ya taifa...pili ushauri wangu sipoteze muda kwenye mapenzi ya kijinga kula desa tena kula haswa

Kweli wewe ni Mkuu Rombo,uandishi wa huyo mwaka wa pili na wako unatofauti gani?Wale wale tu.Hariri ulichokiandika basi unakera pia.
 
GOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOD DAY MA FUNS WOTE kam utapenda kunipa campan ni PM, Mi ni boy umri miaka24 natarajia kuingia second year hapooooo OCTOBER!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! ONE LOVE

Ma-funs wako umewaacha kijijini kwenu.
Miaka 24 sio boys age, hiyo degree unasomea ujinga.
Pumbaf kabisa.
 
Jitahidi kutengeneza maisha ili iwe opportunity yako maana kimsingi ngono huiwezi. Hivyo bora uwe pesa huenda utakae muoa atatulia kwa pesa. Vinginenyo ukiwa no pesa no msingi kiuno hatari
 
Hili jukwaa ni kwa ajili ya watu wazima tu na hata HII JAMIIFORUM NI kwa watu wanaojielewa pekee ambao HAWAJIELEWI NA AU HAWAJITAMBUI NADHANI KUNA mtandao wao wa kijamii ex facebook n.k,
Pili KAMA UNATAKA ANGALAU UWE UNAANZISHA THREAD NA AU UNACHANGIQ ANGALAU NAWE UNAKOMAA AKILI KIDOGO BASI ACHA MARA MOJA HAINA YA UHANDISHI WAKO NA LUGHA ZA MTAANI ZIISHIE HUKO HUKO.ktk hili jukwaa sana inaandikwa sana na SIO XANA!MANENO YOTE UNAYOYAANDIKA UHANDISHI WAKO LAZIMA YAZINGATIE HAYO KINYUME NA HAPO HUKU HAKUKUFAI.



Hahahahahahhahahahahahahaha,

Unamkosoa mwenzako wakati wewe mwenyewe umeandika mwandiko wa uru kishumundu
 
Kuandika hujui, kupga game hujui, kut0ng0za hujui, unajua nini sasa?


Sasa wewe ungeendelea na story yako ya Nakupenda JK si angejifunza kitu.
nawe umepotea jumla.
 
We dogo sisi tupo busy na mikakati ya kuing'oa CCM tafadhali usitusumbue hapa
 
Back
Top Bottom