Kwa yalionipata nimekoma kufanya mapenzi gizani

madala mujipa

JF-Expert Member
Feb 23, 2017
1,417
860
Salaam

kama mjuavyo kuna dada nilikuwa namzimia sana kifupi nilikufa kwake,lakini yule dada kila nilikuwa nikiongea nae yeye alikuwa anaangalia chini au pembeni

mimi nikajua ni mbwembwe tu za kike basi baada ya kilio cha muda mrefu ikafika siku ya mtanange nikamchukua yule dada mpaka gest
kufika ndani nikachojoa aah mwenzangu mpaka taa izimwe hajisikii kufanya mapenzi na mwanga wa taa

ok mwisho wa siku kishingo upande nikakubali taah giza totoro akaanza kuchojoa si ikafika muda akaniuliza vipi unapenda kuimbiwa nikakubali haa kutahamaki yupo chini kende zipo mdomoni mwake mi nilikuwa sijawahi kufanyiwa mchezo ule nikawa nimetulia

tukamaliza tukarudi home sasa mimi nilipokwenda kuoga kila nikigusa kende na nikipaka sabuni zina maumivu makali sana

aah nikajua kawaida tu mpaka asubuhi kende zimevimba kama mpira na limekwarudhika kama mtu aliekwaruzwa na kucha za paka

kumbe yule dada meno yake yamekatika katika sasa yalikuwa yananikwaruza bila mi kujua tangu nilipopona

nilipata funzo na pia wenzangu nawapa funzo mapenzi ya kwenye giza hayafai
 
Ati unasema kende kazibwia mdomoni au nimesoma vibaya hii post yako mkuu?
 
kach

kachome sindano fasta mkuu utakufa na tetenasi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom