Yaani mkuu mpaka tutakuwa sugu kwa majanga.Nasikia huko Kibaha, Chalinze na Morogoro imepiga ya maana na Watu wametafutana.
Wa Mabondeni mkae tayari leo oky?
Si mlisema mkeka wa TMA Huwa unachanika? 🤪🤪Nasikia huko Kibaha, Chalinze na Morogoro imepiga ya maana na Watu wametafutana.
Wa Mabondeni mkae tayari leo oky?
Bora miti yangu istawiHuko kibaha Koki zimefunguliwa mapema tuu ni Hali ya hatar Kwa Kweli
watu wa ziwa tandale na ziwa kigogo bila kuwasahau watu wa ziwa jangwani nadhani mwaka huu mtaita maji mma , hameni nchi maana hakuna namna
Una vinasaba vya Tanga?Na mafuta ya massage usisahau. Matatizo ni fursa ujue😂😂
Kuna Mazingira ntakua nayo Kuna Mazingira siendi nayoKwani kuna uajabu gani kujilinda mkuu?
Hizi mvua zitaongeza kasi maambukizi ya red eyes.
Na kama huendi nayo unatakiwa ujiepushe sana na kimasikharaKuna Mazingira ntakua nayo Kuna Mazingira siendi nayo
Elezea kifogo bro katika hili.View attachment 2888064una maanisha hii ramani?
nacheka kama mazuri...Yarabi ie salamaWa Mabondeni mkae tayari leo oky?
SomaElezea kifogo bro katika hili.
Unampangia Mwenyezi Mungu? Toka lini?Duh mbona walisema DSM haitaathirikana hii mvua ,imekuaje tena?
Kweli kabisa maana ya neno Dodoma ni kwamba kulikuwa na bwawa la tope tembo akazama/akadidimia ndiyo likapatikana neno Dodoma.
GENTAMYCINE
IdodomyaKweli kabisa maana ya neno Dodoma ni kwamba kulikuwa na bwawa la tope tembo akazama/akadidimia ndiyo likapatikana neno Dodoma.
Iringa malolo inapatikana wilaya gani naomba kufahamIringa malolo Imepiga Ya mawee ina upepo mkalii sana Ukitoka njee Inakupiga mawe na ukikaa ndani maji yanataka kuzoa nyumba so inabidi Ulie tu..
Hahaaaaa, hakuna Malolo mkoa wa Iringa. Malolo ni Kilosa Morogoro mkuu wangu. Iringa kuna Kilolo tu.Iringa malolo inapatikana wilaya gani naomba kufaham
Sent from my Infinix X693 using JamiiForums mobile app
nonesenseNgoja nivae Msuli wangu niende sasa Kawe Mabondeni nikamuondoe mapema Demu wangu ili Mbunye isije ikasombwa na Maji nikaikosa na nikarejea na utaratibu wangu Tukuka wa Kupiga Nyeto.