Kwa wenzangu wote, siku yetu hii

Kuna left hand hapa kwetu yan kuna muda anajisahau anamega ugali na shoto...

Nikuulize toilet mnatumia mkono gani? Na we binafsi kwenye ugali au chakula cha kula na mkono unatumia upi?
Wakitoka toilet si wananawa mkuu, kwahiyo mkono wa kushoto ni mkono mchafu sana.?
 
Nilikua na kula na mkono wa kushoto utotoni niliambulia ukatili wa kutosha kutoka kwenye familia hadi nikanyooka mpaka leo hii nikipata tatizo mkono wakulia hua nakula kwa shida sana mkono wa kushoto
All in all watu wanaamini tunaakili sana napenda nithibitishie kwa mimi binafsi yangu sina akili kabisa na sijawahi kua nazo
But trust me normal is boring hakuna kitu kizuri kama kua tofauti na majority , happy leftists day 😂 kama ni kweli hii siku ipo
 
Kuna left hand hapa kwetu yan kuna muda anajisahau anamega ugali na shoto...

Nikuulize toilet mnatumia mkono gani? Na we binafsi kwenye ugali au chakula cha kula na mkono unatumia upi?
Toilet Ni same hand, kula nalia kulia but baada ya kuchapwa sana utotoni
 
[emoji23][emoji23][emoji23], kwenye akili mkuu mi mwenyewe sielewi ila binafsi sijawahi feli kitu kinaitwa shule tangu pre-school mpaka hapa nilipofikia
 
Me hata sijui... Ila kiTz hatujazoeshana hiyo ya kula ugali na mashoto.
Ni kweli lakini kula ugali na mkono wa kulia hufanywa na wengi kwa sababu ndio mkono wao wenye nguvu zaidi. Na kwasababu watu wengi hutumia zaidi mkono wa kulia basi ikahalalishwa kiivo.

Ila jinsi wewe unavoona ugumu kula ugali kwa mkono wa kushoto ndivyo watumia kushoto huona ugumu kulia kwa kulia.
 
[emoji23][emoji23][emoji23], kwenye akili mkuu mi mwenyewe sielewi ila binafsi sijawahi feli kitu kinaitwa shule tangu pre-school mpaka hapa nilipofikia
Hongera mkuu mimi darasa la nne peke yake ndio nilifaulu uko mbeleni nimefaulu kwa kuigilizia tu na hakuna aliekua ana dought ufaulu wangu ukiwa left handed unakua unaaminiwa sana
 
Hivi tunao tumia mkono wa kushoto (kuandika,kupiga kwa nguvu) na mguu wa kushoto kwa sisi ma footballers mnatuitaje ?
 
Hivi tunao tumia mkono wa kushoto (kuandika,kupiga kwa nguvu) na mguu wa kushoto kwa sisi ma footballers mnatuitaje ?
Mimi ndio hivyo hivyo, left handed midfield maestro
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…