naomba mnijuze hotel nzuri na zenye kutoa huduma nzuri si mbaya km mtaniambia na bei zake zikoje.pia maeneo ambayo zipo pamoja bar nzuri kwenye nyama choma za uhakika. Natanguliza shukrani za dhati. Asante.
Kulala nenda Sal Salnero au Impala - barabara ya International School halafu nyama choma nenda kwa Kipanga (Ng'ombe) au kwa Mkulima (Mbuzi) au Chang Bay (kuku)!!
Impala si iko arusha mkuu???
naomba mnijuze hotel nzuri na zenye kutoa huduma nzuri si mbaya km mtaniambia na bei zake zikoje.pia maeneo ambayo zipo pamoja bar nzuri kwenye nyama choma za uhakika. Natanguliza shukrani za dhati. Asante.
Kunaitwa HAMIA AIRTEL naskia huko ni balaaHahahahaaa... nimeipenda hii maana wengine huwa tunaishia tu pale police officers mess kupata Mabomu na nyama choma... wenyeji endeleeni kutupanua majografia....Na ile kitu ya katoliki inapatikana wapi (classic)...