sio loshoro
Last edited by a moderator:
sio loshoro
Si unajua wachagga na samaki ni kama adui fulani wanasema zinafanana na nyoka
Asante sana mkuu hakuna shaka aise huko ni kwetu sana
Nitakuja niwaombe wanipikie kyumbo bana
Asante sana mkuu Master plan
Teh samaki tumewaachia watani zetu kina ambiere. Utasikia: haiyee wagera thoni. Teh
napenda shiro nileee alafu badae kiburu we acha kabisa aisee
hm! naona kama sioni...
Hiyo ni supu ya makande au?
Back in time.. boaeding school hiyo unagonga kande sahani 3, then unasinzia masaa 10! hahahaa!