Last edited by a moderator:
Utakuwa umekosea miss neddy hayo sio makande bana
nimezoea ngararumu ya kiarusha hi siweziUtakuwa umekosea miss neddy hayo sio makande bana
macho yangu hayanidanganyi au miss chagga aje aseme
Viol hizo sio ngararumu wala makande bana hahahahnimezoea ngararumu ya kiarusha hi siwezi
Ngoja niliowataja hapo juu waje wakupe jibu
Macho yako yana makengeza miss neddy
nimekusoma mkuu ngoja tumwulize masai dadakama na mimi sijaenda chaka Viol hiki ni kiburu mchanganyiko wa ndizi na maharage
kama na mimi sijaenda chaka Viol hiki ni kiburu mchanganyiko wa ndizi na maharage
Yeah: Hicho ni kiburu pacha wake mtori. Kisha kuna kitawa huwa kinawekwa maziwa mtindi, Na kuna shiro nao ni mchanganyiko wa ndizi na maharage kwa kifupi Kilimanjaro ndizi zinamapishi mengi. (Home swee Home)
Kiburi, kyiumbo.
Yeah: Hicho ni kiburu pacha wake mtori. Kisha kuna kitawa huwa kinawekwa maziwa mtindi, Na kuna shiro nao ni mchanganyiko wa ndizi na maharage kwa kifupi Kilimanjaro ndizi zinamapishi mengi. (Home swee Home)
Asante sana mkuu Master plan. Nina muda sana sijawahi kuona au kula hii kitu aise inabidi nikienda uchaggani niwaombe wanipikie hii kitu bana lyinga sawa kabisa aise inaitwa kyumbo kwa kile kilugha cha kwetu cha wabibi kabisa
Pamoja mkuu karibu sana Moshi mi mwenyewe nipo huku lakini vitu vimepanda bei balaa, Sio ndizi wala viazi na maparachichi ya kutoka Rombo ndio haya shikiki ila mahindi,maharage,na samaki bei poa.