Kwa wenye "WAKE" wanao drive

Utajuta kuileta hii mada utanangwa hp "tumejua km una gari" ilhali lengo si hilo!
 
Huna haja ya kuwa na wasiwasi mkubwa mpaka ukose raha.

Cha msingi ni kuhakikisha yupo vzr barabarani na asipende ushindani muda wote akubali kushindwa atakuwa salama mengine tumuachie Mungu.

Mm woga wangu ni pale inapomuhusu safari ndefu lkn namuamini mno yuko vzr barabarani.
 
Yaani vijanaume vya siku hizi! Issue ya limke lako unataka kuharibu na wake za wengine . Bumbafuuu
 
Asante kwa kutujuza una gari na mke wako anaweza ku drive
 
Hapo Kuna mawili.
1. Unadharau Sana kwa mkeo.
2. Hilo gari NI la mkopo na bado mkopo haujaisha.
 
Sasa kwanini unamruhusu achukue gari, acha kujambajamba
 
Nilishapokea na kusolve issue zake kama tatu. Sasa kwanini nisiwe na wasiwasi???

Kumkoma nyani geradi

Basi ndo maana!yuko rough?...mimi pia naambiwa niko very rough road!/ila huwa sielewj ..maana niko makini vibaya sana!ila wanawake wengi sana ni makini barabarani!..acha mawazo potofu!
 


Ngumu sana ke kusababisha ajali!.
 
Nakua sina wasiwasi kwenye gari nikiwa naendeshwa na mwanamke kuliko mwanaume.. Hawa viumbe wapo makini barabarani sijawah kuona, ni mara chache sana mwanamke kupata ajali za kizembe.
Huwa ninakuwa na wasiwasi sana nikiendeshwa na mtu mwingine, yaani auamini udereva wangu tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…