Heisenberg
JF-Expert Member
- Apr 26, 2017
- 1,688
- 2,982
- Thread starter
-
- #21
Cha msingi ni kuhakikisha competency yake akiendesha iko poa, gari liko vzr idara zote na mwisho Unamuachia Mungu amlinde akiwa roadini, kwa maisha haya kila mahali utaenda wewe ? au umuajirie dreva wa kukumuendesha, cost implication sasa!
Nakua sina wasiwasi kwenye gari nikiwa naendeshwa na mwanamke kuliko mwanaume.. Hawa viumbe wapo makini barabarani sijawah kuona, ni mara chache sana mwanamke kupata ajali za kizembe.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo kwenye kila kitu rudia rudia rangiMtafutie dereva akusaidie kila kitu.
Labda kwasababu gari yenyewe PASSO ndiyo maana unaogopa
Kama anaweza kuendesha maisha yako vp ashindwe kuendesha Huyo mjapani.
Bwana asipoulinda mji, walindao wakesha bure.
Hofu na wasiwasi wako havisaidii kuepusha chochote zaidi ya kukuletea shida kisaikolojia.
Sawa na awali nilikua nikipanda ndege nahofia itapata ajali kiasi kwamba nakosa raha ya safari, kuna siku nikasema ikiwa ajali itatokea, hofu yangu haisaidii chochote kuizuia.
Kama hua anarudi salama, sio hofu yako au kilio chako kinawaepusha na ajali.
Labda kwasababu gari yenyewe PASSO ndiyo maana unaogopa
Mkuu wewe ulimfundisha hiyo gari?
Au alisomea chuo ambacho hakina walimu wazuri?.
Baadhi ya wanawake ni madereva wazuri sana wakipata mtu sahihi wa kumfundisha gari huwa wako makini na ukijumlisha na uoga wao basi wanakuwa wako wapo na asilimia chache za kupata ajali za mara kwa mara.
Wengi mtalipinga hili ila ukweli sisi wanume kwa sababu ya kujiamini sana huwa tunapata ajali sababu ya kupuuza baadhi ya vitu.
Wapo wanawake wengi tu uoga wao wanakuwa wazito kufanya maamuzi sahihi barabarani na hii ndio utofauti na wanaume na baadhi ya madereva.
Hapo ilikuwa ni baadhi ya madereva wanaume na wanawake.Hii paragraph ya misho imefuta yote uliyoandika hapo juu
Kumkoma nyani geradi
Nakua sina wasiwasi kwenye gari nikiwa naendeshwa na mwanamke kuliko mwanaume.. Hawa viumbe wapo makini barabarani sijawah kuona, ni mara chache sana mwanamke kupata ajali za kizembe.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu wewe ulimfundisha hiyo gari?
Au alisomea chuo ambacho hakina walimu wazuri?.
Baadhi ya wanawake ni madereva wazuri sana wakipata mtu sahihi wa kumfundisha gari huwa wako makini na ukijumlisha na uoga wao basi wanakuwa wako wapo na asilimia chache za kupata ajali za mara kwa mara.
Wengi mtalipinga hili ila ukweli sisi wanume kwa sababu ya kujiamini sana huwa tunapata ajali sababu ya kupuuza baadhi ya vitu.
Wapo wanawake wengi tu uoga wao wanakuwa wazito kufanya maamuzi sahihi barabarani na hii ndio utofauti na wanaume na baadhi ya madereva wanawake.
Kuwa na mchepuko mzee au nguvu huna?Maisha yana changamoto nyingi sana. Changamoto sio kukosa mlo tuu, kila mtu ana changamoto yake.
Changamoto yangu mimi ni wife akitoka na gari. Huwa roho inaniuma hadi atakapokuwa amerudi nyumbani salama.
Maana huwa nakuwa standby kusubiri simu kuwa kapata majanga au laaah
Yani huo muda huwa nakuwa siwezi kufanya kitu, huwa nakuwa karibu na simu zangu mbili.
Na kama kaondoka na dada wa kazi na mtoto hapo ndo huwa nalia kabisa. Roho haitulii kabisa.
Nawaza kama watarud salama au laah hasa nikizingatia mabodaboda yalivyo mengi na uendeshaji wa ovyo, maroli makubwa na changamoto nyingine za barabarani.
Kumkoma nyani geradi
Nilivoanza kusoma huu uzi tu nikajijua tu ndo zilezile story za kutungwaMaisha yana changamoto nyingi sana. Changamoto sio kukosa mlo tuu, kila mtu ana changamoto yake.
Changamoto yangu mimi ni wife akitoka na gari. Huwa roho inaniuma hadi atakapokuwa amerudi nyumbani salama.
Maana huwa nakuwa standby kusubiri simu kuwa kapata majanga au laaah
Yani huo muda huwa nakuwa siwezi kufanya kitu, huwa nakuwa karibu na simu zangu mbili.
Na kama kaondoka na dada wa kazi na mtoto hapo ndo huwa nalia kabisa. Roho haitulii kabisa.
Nawaza kama watarud salama au laah hasa nikizingatia mabodaboda yalivyo mengi na uendeshaji wa ovyo, maroli makubwa na changamoto nyingine za barabarani.
Kumkoma nyani geradi
Maisha yana changamoto nyingi sana. Changamoto sio kukosa mlo tuu, kila mtu ana changamoto yake.