Kwa wenye uzoefu pls!

Sinai

JF-Expert Member
Jan 20, 2011
288
47
Eti nasikia wanawake wa kusini hasa Wamakonde na Wangoni ni watalaam sana kunako 6 kwa 6! wenye uzoefu na wanawake wa kusini tafadhari mchango wenu!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
ni kwamba umepata mwanamke/mwanamme wa huko au?unauliza unataka kujua au unajua lkn unauliza tu?kwann usiulize uliposkia?
 
kama ni kweli ili iweje? acha uzinzi utakufa,kwa taarifa yako wanawake wote ni sawa tu! siku hizi hakuna cha kusini wala mashariki wote moto mkali tu,
 
Eti nasikia wanawake wa kusini hasa Wamakonde na Wangoni ni watalaam sana kunako 6 kwa 6! wenye uzoefu na wanawake wa kusini tafadhari mchango wenu!!!!!!!!!!!!!!!!!

Unataka tutumie kipimo gani kujua huyu ni mzoefu au siyo?
 
Eti nasikia wanawake wa kusini hasa Wamakonde na Wangoni ni watalaam sana kunako 6 kwa 6! wenye uzoefu na wanawake wa kusini tafadhari mchango wenu!!!!!!!!!!!!!!!!!

Mapenzi ni dhana pana sana mkuu, kwa mujibu wa ufahamu wangu wamakonde si magwiji wa mapenzi kihivyo, bali kwa imani ya kwao wanapofundwa kitu wanacho kazaniwa kujua ni namna ya kukata mauno wakati wa 6 kwa 6.
Kwa mantiki hiyo wao ni mabingwa wa mauno kunako 6 kwa 6 na si mabingwa wa mapenzi kwa ujumla wake, mambo iko Tanga bana
 
Mapenzi ni sanaa tu hakuna aliezaliwa anayajua so hakuna mmakonde, mchaga, mtanga wala mhaya yeyote akiamua kujifunza toka moyoni anakua mtaalamu
 
Eti nasikia wanawake wa kusini hasa Wamakonde na Wangoni ni watalaam sana kunako 6 kwa 6! wenye uzoefu na wanawake wa kusini tafadhari mchango wenu!!!!!!!!!!!!!!!!!

umesikia kwa masikio yako?
 
:kev::kev::kev:
twende fild bana ..tuje tuwape jibu..
ivi kuna kamtiani na kakipimo kakujua apa yes apa no?
 
Mwenzenu afanya research bwana!!!!!, Kama mwaweza msaidieni kumpa atakavyo andika......
 
Michelle, hata Rose Mimi nitamuweza! Kama anabisha mwambie a-test aone cha moto! Nipo tayari kuwa part of the research (kutumia participant observation kwa hilo).
 
Sijapata mwanamke huko! Niliombwa ushauri juu ya hilo ndo maana niliomba mchango wenuuuuuuuuu!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Back
Top Bottom