Kwa Wenye Nia Ya Kugombea 2010 - Mbinu Na Mikakati Ya Kushinda Obama Style!

Superman

JF-Expert Member
Mar 31, 2007
5,695
1,696
Je ni vipi tunaweza kuwashauri wale Wanaotarajia kugombea nafasi mbalimbali katika Uchaguzi Mkuu Mwaka 2010?

Watumie Mbinu na Mikakati gani? Wale wenye maoni ya kujenga tunaweza kuyatoa hapa . . . . .

Binafsi, namalizia kuandika article yenye mbinu na mikakati ya kushinda uchaguzi 2010 bila kutumia pesa nyingi wala ufisadi wa namna yeyote.

Ambaye yuko serious kujua zaidi anaweza akani-PM. Haaa haaa . . . . siyo biashara bandugu!
 
Maandalizi ya awali kwa Wanaotaka Kugombea Ubunge:

1. Pata takwimu sahihi za jimbo unalotaka kugombea:
- Elewa idadi ya Wapiga Kura
- Waweke katika takwimu za Umri; Jinsia; Interest Groups n.k
- Angalia takwimu za matokeo Uchaguzi Uliopita
- Angalia ukubwa wa jimbo, vitongoji
- Angalia Miundo mbinu ya jimbo
- Angalia huduma zinazopatikana za kijamii na kimaendeleo
.
.
.
Itaendelea
 
Back
Top Bottom