Kwa wenye kuamini uchawi tukutane

Kwa wenye kuamini uchawi tukutane

Hivi kwani mganga yeye huwa hapendi kuishi maisha mazuri?iweje mganga akupe utajiri wakati yeye ni maskini kuliko wewe?sio kwamba nakataa kwamba uchawi haupo,uchawi upo na vitabu vya mungu vimekiri hilo,cha msingi nikumetegemea mungu ambaye ana uwezo wa kukupa utajiri udumuo.achana na matapeli
Hiyo inakuwa sawa na mwalimu ambaye amefundisha watu ambao wamekuja kuwa viongozi ila yeye bado maisha yako vilevile tu ya kawaida.
 
Back
Top Bottom