Nakadi
JF-Expert Member
- Jun 5, 2017
- 7,780
- 7,377
Pamojah mkuuyeah of coz ni chuo tu mfumo wa HESLB unataka jina la chuo mwaka ulionza na kumaliza
sorry kwa ili
Pamojah mkuuyeah of coz ni chuo tu mfumo wa HESLB unataka jina la chuo mwaka ulionza na kumaliza
sorry kwa ili
Ukishapata control number Ni lazima niende bank au hata kwenye simu unalipa?hongera mkuu ila naona mambo yashakaa poa
sema RITA ndo wanachelewesha vyeti aisee
Me nililipia kwenye simu via Airtel money, uzuri wake ni kwamba hawakati hata shilling.. Unalipa kiasi kilekile net..Ukishapata control number Ni lazima niende bank au hata kwenye simu unalipa?
Hilo ndo tatizo ninalosumbuka nalo kila sikuWazee msaada nashindwa kulog in rita, inakubali kucreate account ukilog in inasema wrong password/username wakati niloweka ni sahihi.
Nikishalipia.Me nililipia kwenye simu via Airtel money, uzuri wake ni kwamba hawakati hata shilling.. Unalipa kiasi kilekile net..
Ndo maana unacertify ili utume certifiedNikishalipia.
Vipi cheti unachoapload lazima kiwe kile kilichokuwa verified na RITA au ?
Yani hapa ni wiki 2 dogo hajibiwi kuwa tayar, control number ilikuja na akalipa but kimyaaa!sijui nini shida?mfumo ushakaa fresh mkuu toka asubuhi mi napiga mzigo
sema changamoto ule mfumo kuna baadhi ya watu hautaki kuwatengenezea control namba yaan kuna bint kaja kwangu toka juzi tunarequest namb ya malipo haiji jana kaapear mwingin na leo pia kuna dogo kashindwa kupata kontrol namba aisee
Wewe umetumia mfumo.wa.Rita umefanikiwa?Ndo maana unacertify ili utume certified
Na cheti nimetumiwa from rita toka mwezi wa 7Wewe umetumia mfumo.wa.Rita umefanikiwa?
Mimi najiunga nikilog in naambiwa wrong password or username
ulicertify onlineNa cheti nimetumiwa from rita toka mwezi wa 7
Kama mwenyewe milolongo inakushinda nenda interest cafe ambao ni wazoefu kazi inaisha mda mfupi tu then unasubiria majibuulicertify online
ulitumia browser ipi?
kwani nishatumia email 3 hivi kusajili lakini nilikog in naambiwa wrong user name or password
kureset inagoma kabisa
unalipa tu kwa mitandao ya simu kwa m pesa unaenda lipa kwa m pesa zen malipo ya serikali ila mitandao mingine nenda lipa bili zeni malipo ya serikaliUkishapata control number Ni lazima niende bank au hata kwenye simu unalipa?
ikizingua we create tu profile nyingine izo hazina madhara ata ukiwa nazo kumi cha msingi cheti kihakikiweWazee msaada nashindwa kulog in rita, inakubali kucreate account ukilog in inasema wrong password/username wakati niloweka ni sahihi.
mkuu hiyo haina shida watajibu tu ila watachelewa yaan asa hv awa jamaa wana mzigo wa vyetiYani hapa ni wiki 2 dogo hajibiwi kuwa tayar, control number ilikuja na akalipa but kimyaaa!sijui nini shida?
ndo yenyeweWakuu hii si ndio fomu ya Helbs app au nakosea?View attachment 1527252
Nikishacreate baadae inañitaka nilog in hapo ndo napoambiwa wrong email or passwordikizingua we create tu profile nyingine izo hazina madhara ata ukiwa nazo kumi cha msingi cheti kihakikiwe
sikia uzuri wa rita hawaja limit username iweje unaweza tumia namba au jina lako na unaweza andika vyovyot mi mara nyingi uwa natumia index namb ya form four au six kwa format ile ile ya bodi kwa.maana S0000/0000/2017 namb ya shule namba ya mtahiniwa na mwaka aliohitimuNikishacreate baadae inañitaka nilog in hapo ndo napoambiwa wrong email or password
zote zinagomaikizingua we create tu profile nyingine izo hazina madhara ata ukiwa nazo kumi cha msingi cheti kihakikiwe