Kwa wenye internet cafe tusaidiane hili

Kwa wenye internet cafe tusaidiane hili

Ukishapata control number Ni lazima niende bank au hata kwenye simu unalipa?
Me nililipia kwenye simu via Airtel money, uzuri wake ni kwamba hawakati hata shilling.. Unalipa kiasi kilekile net..
 
Wazee msaada nashindwa kulog in rita, inakubali kucreate account ukilog in inasema wrong password/username wakati niloweka ni sahihi.
 
Wazee msaada nashindwa kulog in rita, inakubali kucreate account ukilog in inasema wrong password/username wakati niloweka ni sahihi.
Hilo ndo tatizo ninalosumbuka nalo kila siku
Wamewwka namba zao ukiwapigia hawapokei kabisa
 
mfumo ushakaa fresh mkuu toka asubuhi mi napiga mzigo
sema changamoto ule mfumo kuna baadhi ya watu hautaki kuwatengenezea control namba yaan kuna bint kaja kwangu toka juzi tunarequest namb ya malipo haiji jana kaapear mwingin na leo pia kuna dogo kashindwa kupata kontrol namba aisee
Yani hapa ni wiki 2 dogo hajibiwi kuwa tayar, control number ilikuja na akalipa but kimyaaa!sijui nini shida?
 
Wakuu hii si ndio fomu ya Helbs app au nakosea?
Screenshot_20200804_214940.jpg
 
ulicertify online
ulitumia browser ipi?
kwani nishatumia email 3 hivi kusajili lakini nilikog in naambiwa wrong user name or password
kureset inagoma kabisa
Kama mwenyewe milolongo inakushinda nenda interest cafe ambao ni wazoefu kazi inaisha mda mfupi tu then unasubiria majibu
 
Ukishapata control number Ni lazima niende bank au hata kwenye simu unalipa?
unalipa tu kwa mitandao ya simu kwa m pesa unaenda lipa kwa m pesa zen malipo ya serikali ila mitandao mingine nenda lipa bili zeni malipo ya serikali
 
Wazee msaada nashindwa kulog in rita, inakubali kucreate account ukilog in inasema wrong password/username wakati niloweka ni sahihi.
ikizingua we create tu profile nyingine izo hazina madhara ata ukiwa nazo kumi cha msingi cheti kihakikiwe
 
Yani hapa ni wiki 2 dogo hajibiwi kuwa tayar, control number ilikuja na akalipa but kimyaaa!sijui nini shida?
mkuu hiyo haina shida watajibu tu ila watachelewa yaan asa hv awa jamaa wana mzigo wa vyeti
ila ata mimi wateja wangu wapo ambao wanachelewa kurudishiwa majibu
ila hakuna tatizo
 
Nikishacreate baadae inañitaka nilog in hapo ndo napoambiwa wrong email or password
sikia uzuri wa rita hawaja limit username iweje unaweza tumia namba au jina lako na unaweza andika vyovyot mi mara nyingi uwa natumia index namb ya form four au six kwa format ile ile ya bodi kwa.maana S0000/0000/2017 namb ya shule namba ya mtahiniwa na mwaka aliohitimu
 
Back
Top Bottom