MCHARANGO JM
Member
- Dec 30, 2018
- 44
- 11
Najua huu ni muda wa neema kwetu mi niko na ki-internet cafe changu,
muda huu napiga pesa kwa kuwatumia madogo vyet vya kuzaliwa na kifo RITA kwa wanaojiandaa na masomo ya elimu ya juu pamoja na kuwafanyia maombi ya mkopo
Ila changamoto imejitokeza toka jana huu mfumo umestack hautaki kurequest control namba (yaan mfumo wa HESLB)
nilikiwa nataka kujua hii changamoto ni kwangu tu au ata kwa wenzangu