Kingsman
Member
- Aug 8, 2017
- 84
- 202
Osss!!!
Hebu leo tuangalie aina ya mapigano ambayo hutumika katika Majeshi tofauti tofauti (Military martial arts)
1/Tuanzie nyumbani (JWTZ)
Hawa hutumia aina ya mapigano yajulikanayo kama “COMBAT KARATE” hii husisha “misimamo au stances” na “combinations” tofauti tofauti..
Aina hii ya mapigano humfanya mpambanaji kuwa na uwezo wa kupambana na adui mwenye silaha kuanzia kisu fimbo hadi mwenye silaha za moto,,,,,
Dhumun lake haswa ikiwa ni “kuvunja na kuua” ndo maana hapa nchini haifundishwi kwingine zaidi kwenye idara za ulinzi na usalama..
View attachment 721811
2/ Israel...Hawa wenzetu hutumia aina ya mapigano ya kijeshi yajulikanayo kama “KRAV MAGA” aina hii ya mapigano iliundwa baada ya utafiti na kutengeneza mbinu amabazo mpambanaji atazitumia wakati wa hatari kifo au maisha ivyo basi ikaanza kufundishwa katika idara za usalama nchini Israel na pia katika kitengo cha jeshi na makomando wake..
View attachment 721812
3/ China hawa hutumia kitu kinaitwa “JUN SHI SANDA” aina ya mapigano yalikua maalum kwa ajili ya jeshi la watu wa China ambapo humwezesha askari uwezo wa kujilinda bila kua na silaha yeyote!!!
aina hii huusisha
i/Mapigo ya juu(upper body strikes)
ii/Mapigo ya chini(lower body strikes)
iii/Mitupo (Throws)
iv/ Roba na Mibano(locks)
v/silaha(weapons combat)
4/ Urusi kwa mzee Puttin uko kuna kitu kinaitwa “MILITARY COMBAT SAMBO”
Ambapo na yenyewe hutumiwa na Majeshi ya Urusi na Vikosi maalumu( makomandoo) na Idara za kijajusi za urusi pale ambapo mtu anahitaji kujitetea huku akiwa hana silaha yoyote...
5/ U.S.A kwa Mzee Trump hawa hutumia aina ijulikanayo kama ( HAND TO HAND COMBAT)
Hii hufundishwa katika vikosi tofauti vya Jeshi la Marekani,,, na pia hutumiwa na Usalama wa Taifa wa Marekan( Us Secret Service) na Pia katika Shirika la kijajusi la Marekani (CIA) na katika Idara zingine kama FBI na idara zingine za Ulinzi na usalama..
hii umwezesha askari kutumia mapigo ayo Adhimu kumuondoa adui ndani ya mda mchache..
(Nataka kuweka kitabu cha Jeshi la Marekani hapa cha mapigano lakin naona inanigomea)
Itaendelea....