Kwa Wazee tu, Mnakumbuka hii Kadi?

duh! ila sijui nije lini? utanipa namba kwenye timu? ama ndo utasema wachezaji wametosha?
Vigezo na masharti kuzingatiwa..........

Radhi ya nini sasa? wewe toka uliskia kua vibabu vya JF vinapendwa umekua mstari wa mbele kujifanya mmoja wao. Kubali miaka yako, hakuna aibu kua kizazi cha dot.com, bora hata ungenambia Kaizer, labda aliona hizi kadi...
Hebu ntajie babu mwingine humu ndani zaidi yangu na babu mwenzangu Dark City. FYI wakati Kaizer anazaliwa binti yangu wa kujifunzia alikuwa darasa la nne enzi za TANU. Unakumbuka enzi za Amon Nsekela wewe? We si umezaliwa enzi za kina Horace Kolimba? Narudia tena ntake radhi kabla sijachakachua swaumu yako....ohooooo!
 
Last edited by a moderator:
aisee...............miye nilija humu jamvini watu wote ni watu wazima kumbe kuna hata vitoto vya 80's duh!
Hahahaha huyo kijana na bi Roulette hawajawahi kujua utamu wa kupiga mziki kwa haya makitu... Kalamu za bic ndo zilitusaidia sana kuforward na kurewind.... wakumbuka??

cassettes_1_0.jpg
 
Last edited by a moderator:
Hahahaha huyo kijana na bi Roulette hawajawahi kujua utamu wa kupiga mziki kwa haya makitu... Kalamu za bic ndo zilitusaidia sana kuforward na kurewind.... wakumbuka??

cassettes_1_0.jpg

dah miaka hiyo kanda ya dini ni ya Munish na wale wakenya flan hivi.kwakule mgomban ukiwa nayo moja unaazima nyumba zote lol! ila pia hapa ni advanced hivi wakumbuka player? masahan yake je?
 
Ingawa wengine wanaweweseka kuwa ufisadi ulianza enzi za TANU na Mwalimu Nyerere lakini angalia material ya kadi hiyo halafu linganisha na ya CCM sasa hivi utagundua kuwa hakukuwa na uchakachuaji kama wa leo nadani ya CCM yao

8383170.jpg

Kadi laini kama biskuti , kadi inawaka kama imetiwa petroli

301672_265200096857214_100001016768117_788943_724941653_n.jpg

Ndio maana wengine siku hizi ni rahisi kuzitupa kadi zao

kadi-za-ccm-mikononi-mwa-cuf1.jpg
 
Vigezo na masharti kuzingatiwa..........

Hebu ntajie babu mwingine humu ndani zaidi yangu na babu mwenzangu Dark City. FYI wakati Kaizer anazaliwa binti yangu wa kujifunzia alikuwa darasa la nne enzi za TANU. Unakumbuka enzi za Amon Nsekela wewe? We si umezaliwa enzi za kina Horace Kolimba? Narudia tena ntake radhi kabla sijachakachua swaumu yako....ohooooo!

Mkuu Asprin, achana na hawa watu wa dotcom...Watakupasua kichwa...

Huwa nikiwasimulia habari za vita yetu ya kwanza na Nduli Idd Amini ya 1972 na ile ya majuzi juzi ya 1978-79, huwa wanabaki kunishangaa wakati mwenyewe naona ni jana tu!!

Labda tuwakumbushe na zile operation za miaka ya 70.....

Ila ukweli unabaki pale pale kwamba viongozi wa miaka ile walikuwa wamefundwa!

Babu DC!!
 
Last edited by a moderator:
Kulikuwa na ile ya TYL. Km unaikumbuka, niambie kirefu chake.

Umeniwahi, na mimi nilitaka kuomba kama anaweza kutuwekea ile ya Tanu Youth League. Wakati huo huwezi kujiunga UDSM (chuo kikuu pekee wakati huo) bila kuwa na kadi ya TYL.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom