Kwa Wazee tu, Mnakumbuka hii Kadi? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwa Wazee tu, Mnakumbuka hii Kadi?

Discussion in 'Jamii Photos' started by MaxShimba, Jul 30, 2012.

 1. MaxShimba

  MaxShimba JF-Expert Member

  #1
  Jul 30, 2012
  Joined: Apr 11, 2008
  Messages: 35,816
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 160
  [​IMG]
   
 2. Roulette

  Roulette JF-Expert Member

  #2
  Jul 30, 2012
  Joined: Dec 15, 2010
  Messages: 5,618
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 3. SIMBA WA TARANGA

  SIMBA WA TARANGA JF-Expert Member

  #3
  Jul 30, 2012
  Joined: Feb 14, 2012
  Messages: 992
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hii ndo imezaa gamba au ndo evolution?
   
 4. MaxShimba

  MaxShimba JF-Expert Member

  #4
  Jul 30, 2012
  Joined: Apr 11, 2008
  Messages: 35,816
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 160
 5. Freema Agyeman

  Freema Agyeman JF-Expert Member

  #5
  Jul 30, 2012
  Joined: Mar 3, 2011
  Messages: 3,290
  Likes Received: 1,444
  Trophy Points: 280
  sio gamba tu, hata gwanda, nitoke vipi na jino kwa jino

  Kama huamini muulize Mtei, Mvungi na hata Seif.
   
 6. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #6
  Jul 30, 2012
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 51,115
  Likes Received: 24,180
  Trophy Points: 280
  Popote pale ulipo Ms. Roulette, waweza mwomba radhi ODM? Nikiangalia muda ulioposti hii makitu ya kunizalilisha lazima ulikuwa unapiga daku, huoni huu uzalilishaji waweza kukuharibia swaumu yako kwa leo....... Am counting ujue....!!
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 7. gfsonwin

  gfsonwin JF-Expert Member

  #7
  Jul 30, 2012
  Joined: Apr 12, 2012
  Messages: 16,984
  Likes Received: 1,908
  Trophy Points: 280
  eti Asprin hivi kume miye mzee eeh! 75-77 si wakumbuka tulikuwaga tunacheza kombolela na kibaba baba kle migombani?
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 8. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #8
  Jul 30, 2012
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 51,115
  Likes Received: 24,180
  Trophy Points: 280
  Hiyo 75 - 77 unamaanisha wakati nna umri huo? Hiyo ilikuwa mwaka 1998.
   
 9. Mzizi wa Mbuyu

  Mzizi wa Mbuyu JF-Expert Member

  #9
  Jul 30, 2012
  Joined: May 15, 2009
  Messages: 5,501
  Likes Received: 1,081
  Trophy Points: 280
  I see!! hicho ndicho kilikuwa chama bwana.....!

  Lkn hiki cha cha Nazi!!
   
 10. Baba V

  Baba V JF-Expert Member

  #10
  Jul 30, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 19,507
  Likes Received: 170
  Trophy Points: 160
  Heri mimi sikuiona hiyo mzazi wa gamba!
   
 11. gfsonwin

  gfsonwin JF-Expert Member

  #11
  Jul 30, 2012
  Joined: Apr 12, 2012
  Messages: 16,984
  Likes Received: 1,908
  Trophy Points: 280
  haya babu nimekukubali BTW mzima lakini? miye niko poa leo tumeanza mgomo rasmi so niko kwa house kama kawa ila nakumisijee sikusomi kabisa ujuee?
   
 12. Msalagambwe

  Msalagambwe JF-Expert Member

  #12
  Jul 30, 2012
  Joined: Jul 11, 2012
  Messages: 716
  Likes Received: 63
  Trophy Points: 45
  77 mama anamaliza form four bado kigoli,
  mdingi anacheza disco Rungwe oceanic,
  anakamata hapa anaachia anashika pale anaachia,
  80 kumwona mother manyanga kaweka chini,
  81 mzee mzima nikazaliwa nimeshika kadi ya CDM
   
 13. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #13
  Jul 30, 2012
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 51,115
  Likes Received: 24,180
  Trophy Points: 280
  Hahahaha!! Hunisomije tena? Nibadili mwandiko au kilugha? Mie niko poa kabisa. Mungu yu mwema kwangu.

  Usipogoma ntakutia bakora ya matakoni!
   
 14. gfsonwin

  gfsonwin JF-Expert Member

  #14
  Jul 30, 2012
  Joined: Apr 12, 2012
  Messages: 16,984
  Likes Received: 1,908
  Trophy Points: 280
  haya bwana ila bakora ya matakoni? duh!

  hivi sku hizi umeshaacha kuchezea ili klabu yako ya volleyball ya chicago? naomba usajili am serious.
   
 15. MadameX

  MadameX JF-Expert Member

  #15
  Jul 30, 2012
  Joined: Dec 27, 2009
  Messages: 7,847
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  Haya mambo ya 70 kweusi tutakumbuka sisi..... wengine tulikuwa bado ni work in progress
   
 16. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #16
  Jul 30, 2012
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 51,115
  Likes Received: 24,180
  Trophy Points: 280
  Hahahaha! Timu pinzani imeingia mitini.... si unajua nlivyo mtaalam wa kusmash?
   
 17. gfsonwin

  gfsonwin JF-Expert Member

  #17
  Jul 30, 2012
  Joined: Apr 12, 2012
  Messages: 16,984
  Likes Received: 1,908
  Trophy Points: 280
  duh! ila sijui nije lini? utanipa namba kwenye timu? ama ndo utasema wachezaji wametosha?
   
 18. gfsonwin

  gfsonwin JF-Expert Member

  #18
  Jul 30, 2012
  Joined: Apr 12, 2012
  Messages: 16,984
  Likes Received: 1,908
  Trophy Points: 280
  aisee...............miye nilija humu jamvini watu wote ni watu wazima kumbe kuna hata vitoto vya 80's duh!
   
 19. Msalagambwe

  Msalagambwe JF-Expert Member

  #19
  Jul 30, 2012
  Joined: Jul 11, 2012
  Messages: 716
  Likes Received: 63
  Trophy Points: 45
  Sisi ndo vijana wenywe,
  By definition nchini Tanzania,
  Ukivuka miaka 36 we si kijana tena ni mzee
  nina miaka 5 tu ya kujiita kijana,
  wewe bado unaniona mdogo?

  hata hivyo nondo zangu,
  si za kitoto.


   
 20. Roulette

  Roulette JF-Expert Member

  #20
  Jul 30, 2012
  Joined: Dec 15, 2010
  Messages: 5,618
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Radhi ya nini sasa? wewe toka uliskia kua vibabu vya JF vinapendwa umekua mstari wa mbele kujifanya mmoja wao. Kubali miaka yako, hakuna aibu kua kizazi cha dot.com, bora hata ungenambia Kaizer, labda aliona hizi kadi...
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Loading...