Tissaphernes
JF-Expert Member
- Mar 27, 2018
- 2,902
- 3,572
Mtoto akikua atakutafuta tu, tena ukiwa watoa matumizi
AiseeKuna incident ilitokea UK, wazazi walitoka Ivory Coast, walipata watoto wawili wa kiume. Watoto walipofika 5-7 wazazi waliachana. Mama alibeba watoto.
Serikali za wenzetu zinavyothamini maisha ya mtoto, mama alipewa nyumba na pesa ya kujikimu. Alimudu maisha bila kutegemea msaada wa baba.
Baba hakumudu kupangisha nyumba, alipata chumba na kuendelea na maisha. Alipigana sana ili aweze kuona wanae. Iliamuliwa atakuwa anashinda na watoto kila baada ya weekend moja.
Siku yuko na watoto aliwapa sumu wakafa yeye na watoto wake.
sio kila tukio ni bangi....Huyo msouth mpuuzi bangi kichwani. Mimi lazima nilee mwanangu hata kama tutaachana. Wanasema sijui mtoto chini ya miaka 7 analelewa na mama, mimi ntatafuta evidences to prove beyond doubt kwamba mama mtoto hana uwezo wa kumlea.