Kwa watumiaji wa Google Pixel

Ngoja nifanye hivyo nione itakavyokuwa
 
Mkuu nimei factory reset lakini bado tatizo lipo vile vile
 
Naskia haiingii maji ni kweli?

Ni kweli lakini lazima iwe mpya haijawai kufunguliwa kwenye toleo la 3 series pixel 3xl waliipendelea sana japo ilikuwa ya kwanza then ikafata 3axl 3xl kwanza ina kioo safi p oled screen size kubwa resolution nayo
Battery 3400 mah lakini linakaa sana kikubwa walicho uwa ndo hiyo water resistanc
 
Nime experience hili tatizo. Sijui navyo update mara kwa mara ile app yao ya call?! Maana mwanzoni sikuwahi kupata hiyo changamoto!
 
Dah unyama sana nataman nizipitie zote 3xl na 3axl
 
Wakuu mimi nime rudi kwanza kwenye iphone maana ni kitambo tangu ikiwa ios 15 nilihamia pixel nimerudi huku ili nione utamu wa ios 16 nasubiria watoe 17 nione nayo ipoje Then narudi tena pixel.
 
Ulifanyaje mpaka ukaweza kulitatua?
Ni kama inakuja na kuondoka. Ila jaribu ku update hiyo call app mimi kwa sasahiv haisumbui tena japo bado naendelea kuangalia kama itatokea tena nita unistall updates zote kwenye call app irudi kama zamani
 
Ni kama inakuja na kuondoka. Ila jaribu ku update hiyo call app mimi kwa sasahiv haisumbui tena japo bado naendelea kuangalia kama itatokea tena nita unistall updates zote kwenye call up irudi kama zamani
Tatizo la hii simu yangu ni kwamba hata niki test kwenye audio recorder bado inazingua

Japo kuna muda inakubali lakini huwa haichukui muda mrefu inarudi tena kwenye hali ile ile
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…