code my language
Member
- May 2, 2023
- 31
- 49
Ndo unasem umetumia 4A je 4A 5g version uliwah kutumia je 4XL? ilikuwa haikai chaji ulijarib 3axl kweny series za 3 nayo haikukaa chaji labda nikupe pole sana labda ww hizo infinix ndio unazipenda ila hupendi sim bora usimwamshe alielalaMimi nataka simu inayokaa chaji haijalishi itakua brand gani
Ndo unasem umetumia 4A je 4A 5g version uliwah kutumia je 4XL? ilikuwa haikai chaji ulijarib 3axl kweny series za 3 nayo haikukaa chaji labda nikupe pole sana labda ww hizo infinix ndio unazipenda ila hupendi sim bora usimwamshe alielala
Hata samsung alitokea huko huko siku hiz wanajitahid iphone nae alitokea uko uko sim zao zilikuwa kam fridge ila ni moja ya brand bora sana kwaiy sim kukaa na chaji haimanish ni bora na kutokukaa haimaanish sio bora pixels wako kweny mapinduz taratib naona wanabadilik ukifuatilia kuanzia sim yao ya kwanza ya pixel na pixel XL mwaka 2016 zilikuwa hazikai chaji kabisa ila ukizifuatilia utaona mabadiliko mdogo mdog mtazikubal tu siku moj
Unaweza nionesha wapi nimesema google pixel sio Bora?
Friji kabisa[emoji16]Nimetumia google pixel 3A 4A na 4xl sahizi nimerudi zangu kwenye Infinix[emoji3][emoji3] hizo zote zilikua pasi betri haikai
Katika series za chini Yani 4 kwenda chini sijawahi kuona series kama 3xl,3axl,3 zinakaaa na chaji kinomaMtu hawezi kutumia iphone xs max yake ilikuwa kimeo haikai chaji akahamia brand ingine akaanza kutukan iphone zote kuwa sio nzuri
Au umetumia samsung s4 au s6 edge unaanza kusem samsung kuwa hazikai chaji [emoji2]
Vivyo hivyo kwa pixels
Ndo nilikuwa namuambia huyo mdau hapo hiz 3 series ziko vzur sanaaa na ndio nimeanz kutumia ila kweny 4 series ni 4XL na 4a 5g ziko poa sana ukija 5 kwenda juu huko ndo burudan mnoKatika series za chini Yani 4 kwenda chini sijawahi kuona series kama 3xl,3axl,3 zinakaaa na chaji kinoma
Sent from my Pixel 3 using JamiiForums mobile app
Hizi simu kama nilivyo sema hapo juu zinavyokuja kutoka nje labda uzibahatishe maana nyingi zinatekenywa ndo zinaletwa humu bongo imagine simu nyingi saivi zinatengenezwa na water resistant lakini zikija bongo hazina.Mimi nataka simu inayokaa chaji haijalishi itakua brand gani
Ww umefafanua vzr kabisa hii pixel yangu ninautumia bil wasws na niko mbion kwenda kweny kweny p7 maan utamu umenikolea yani numetumia sim nying kampun nying ila pixel kwakwel ni adicted wana vioo vizur sana na iko simple mnoo nimeona kuna mdau anasem pixel 3xl ni ya kipuuzi at the same time kuna rafik yang anayo hiy na hajawah kulalamika swal la chaji tena anatak kupanda juu zaidi tatiz lako sio la mtu mwingin yoyot ndio maan sijawah kuzipondea iphon kweny swal la chaji au kushusha battery health au matatatiz mengin maan kila mtu anatumia kile kinachomfaaHizi simu kama nilivyo sema hapo juu zinavyokuja kutoka nje labda uzibahatishe maana nyingi zinatekenywa ndo zinaletwa humu bongo imagine simu nyingi saivi zinatengenezwa na water resistant lakini zikija bongo hazina.
Sent from my Pixel 3 using JamiiForums mobile app
Na hizo nilipiga then nikaziaplod messenger halafu nikazidownload Tena haya leta hiyo pixel yako.View attachment 2643393View attachment 2643394Hebu tuoneshe sampo ya picha ya potrait ya hiy 7 ya marekani na mm nikuoneshe sampo ya 4xl no editing tukimaliz tutahamia 6pro na 13 pro max
Mbn sent from pixel 3[emoji23]Na hizo nilipiga then nikaziaplod messenger halafu nikazidownload Tena haya leta hiyo pixel yako.View attachment 2643393View attachment 2643394View attachment 2643395
Sent from my Pixel 3 using JamiiForums mobile app
HizoView attachment 2643396View attachment 2643397Hebu tuoneshe sampo ya picha ya potrait ya hiy 7 ya marekani na mm nikuoneshe sampo ya 4xl no editing tukimaliz tutahamia 6pro na 13 pro max
3Hebu tuoneshe sampo ya picha ya potrait ya hiy 7 ya marekani na mm nikuoneshe sampo ya 4xl no editing tukimaliz tutahamia 6pro na 13 pro max
4Hebu tuoneshe sampo ya picha ya potrait ya hiy 7 ya marekani na mm nikuoneshe sampo ya 4xl no editing tukimaliz tutahamia 6pro na 13 pro max
Mtatuvunja mbavu wenzenu.Poa mkuu kwa ushauri ma a na hapa natumia infinix smart3 ukipiga picha Kama umeungua na moto
Mtafute huyo jamaa hapo yuko infinix tower pale namb zake hizo kweny bio hapo ana pixel zimenyooka sanaWakuu, zile simu used za pixel pale china plaza ni salama kweli? Nataka nkachukue kama 2 au 3