boma2000
JF-Expert Member
- Oct 18, 2009
- 3,321
- 318
Ni upuuzi tu. Mtu mmoja ana account 20 hivyo hilo si tatizo ila wanapoteza muda. Wapiga kura wapi wametulia wanasubiri siku ya uchaguzi ifike. Wataenda kupiga kura vizuri.HUKO INSTAGRAM KUANZIA JANA KUMEWAKA KILA POST YOYOTE UTAKAYO GUSA HAIJALOSHI INAHUSIHANA NA NINI UKIFUNGUA COMMENT 99% WATU WOTE UNAKUTA WAMECOMENT "NO REFORM NO ELECTION" HATA KAMA POST ZA KANGA MOKO WATU WAMECOMENT "NO REFORM NO ELECTION"...😅😅
PILI WAMEANZISHA OPERATIONS YA KU UNFOLLOW NA KUREPORT PAGE ZA MACHAWA WOTE KUANZIA STEVEN MENGELE NA WENGINE WOTE MPAKA SASA MILLAD AYO KAPOTEZA FOLLOWERS LAKI 3 MPAKA JIONI ATABAKI NA FOLLOWERS 3 MAANA WATU WANA SPEED HUKO...😅😅
FACEBOOK TUSIBAKI NYUMBA TU UNFOLLOW NA REPORT MACHAWA WOTE ILI WAWE NA AKILI SASA.....
USICOMENT NENO LOLOTE TOFAUTI NA "NO REFORM NO ELECTION"...✌✌
NimenakiliView attachment 3359020
Wasusiaji waendelee kususia maana ni hali ya kila mtu (demokrasia) kuamua mwenyewe kupiga kura kuchagua Serikali waitakayo, au acha kupiga kura ili wengine wakuchagulie Serikali itakayo kuongoza.
Ukitaka kuzuia wengine wasiende kupiga kura, vyombo vya Usalama vitafanya kazi yake