Kwa watumiaji wa FB

Kwa watumiaji wa FB

HUKO INSTAGRAM KUANZIA JANA KUMEWAKA KILA POST YOYOTE UTAKAYO GUSA HAIJALOSHI INAHUSIHANA NA NINI UKIFUNGUA COMMENT 99% WATU WOTE UNAKUTA WAMECOMENT "NO REFORM NO ELECTION" HATA KAMA POST ZA KANGA MOKO WATU WAMECOMENT "NO REFORM NO ELECTION"...😅😅

PILI WAMEANZISHA OPERATIONS YA KU UNFOLLOW NA KUREPORT PAGE ZA MACHAWA WOTE KUANZIA STEVEN MENGELE NA WENGINE WOTE MPAKA SASA MILLAD AYO KAPOTEZA FOLLOWERS LAKI 3 MPAKA JIONI ATABAKI NA FOLLOWERS 3 MAANA WATU WANA SPEED HUKO...😅😅

FACEBOOK TUSIBAKI NYUMBA TU UNFOLLOW NA REPORT MACHAWA WOTE ILI WAWE NA AKILI SASA.....

USICOMENT NENO LOLOTE TOFAUTI NA "NO REFORM NO ELECTION"...✌✌

NimenakiliView attachment 3359020
Tunataka viongozi tunaowachagua sisi WANANCHI wa TANZANIA na sio vinginevyo,tunaongozwaje na watu Wana ubongo wa Nguruwe.hapa ni NO REFORMS NO ELECTION zaidi ya hapo ni uongo
 
HUKO INSTAGRAM KUANZIA JANA KUMEWAKA KILA POST YOYOTE UTAKAYO GUSA HAIJALOSHI INAHUSIHANA NA NINI UKIFUNGUA COMMENT 99% WATU WOTE UNAKUTA WAMECOMENT "NO REFORM NO ELECTION" HATA KAMA POST ZA KANGA MOKO WATU WAMECOMENT "NO REFORM NO ELECTION"...😅😅

PILI WAMEANZISHA OPERATIONS YA KU UNFOLLOW NA KUREPORT PAGE ZA MACHAWA WOTE KUANZIA STEVEN MENGELE NA WENGINE WOTE MPAKA SASA MILLAD AYO KAPOTEZA FOLLOWERS LAKI 3 MPAKA JIONI ATABAKI NA FOLLOWERS 3 MAANA WATU WANA SPEED HUKO...😅😅

FACEBOOK TUSIBAKI NYUMBA TU UNFOLLOW NA REPORT MACHAWA WOTE ILI WAWE NA AKILI SASA.....

USICOMENT NENO LOLOTE TOFAUTI NA "NO REFORM NO ELECTION"...✌✌

NimenakiliView attachment 3359020
Mbona viongozi wetu wahasisi wa No Reform No Election wanapotutangazia tukutane Boma, hatukutani!!!?
 
NO REFORMS NO ELECTION

Wadada mtu akikutongoza kama hajasema hayo maneno mkatae, mume wako akikuomba 🍎 asipoanza na hayo maneno mnyime. Salamu iwe hiyo ✌️

#NO REFORMS NO ELECTION.
 
Unaishi dunia gani wewe ambaye hujui nguvu ya mitandao!
NAJUA sana ila, kuwa na nguvu ya mitandao pekee, harafu baadae kwenye vitendo mnafyata mikia haina maana nb Tanzania hakujawahi Kuwa na nguvu ya mitandao kama unafikiri ipo subiri utaona watakapo ishia, Tanzania hua Kuna nguvu ya mitandao kwa mambo ya kijingav siyo mhimu.
Unaishi dunia gani wewe ambaye hujui nguvu ya mitandao!
 
HUKO INSTAGRAM KUANZIA JANA KUMEWAKA KILA POST YOYOTE UTAKAYO GUSA HAIJALOSHI INAHUSIHANA NA NINI UKIFUNGUA COMMENT 99% WATU WOTE UNAKUTA WAMECOMENT "NO REFORM NO ELECTION" HATA KAMA POST ZA KANGA MOKO WATU WAMECOMENT "NO REFORM NO ELECTION"...😅😅

PILI WAMEANZISHA OPERATIONS YA KU UNFOLLOW NA KUREPORT PAGE ZA MACHAWA WOTE KUANZIA STEVEN MENGELE NA WENGINE WOTE MPAKA SASA MILLAD AYO KAPOTEZA FOLLOWERS LAKI 3 MPAKA JIONI ATABAKI NA FOLLOWERS 3 MAANA WATU WANA SPEED HUKO...😅😅

FACEBOOK TUSIBAKI NYUMBA TU UNFOLLOW NA REPORT MACHAWA WOTE ILI WAWE NA AKILI SASA.....

USICOMENT NENO LOLOTE TOFAUTI NA "NO REFORM NO ELECTION"...✌✌

NimenakiliView attachment 3359020
No Reforms no Election
 
Mbona viongozi wetu wahasisi wa No Reform No Election wanapotutangazia tukutane Boma, hatukutani!!!?
FB_IMG_1749286477359.jpg
 
Back
Top Bottom