Kwa watumiaji wa facebook pekee

Kwa watumiaji wa facebook pekee

teledam

JF-Expert Member
Joined
Mar 6, 2017
Posts
927
Reaction score
1,239
C&P from Evarist Chachali

Tukubaliane kwamba japo wengi wetu twapenda kutumia mtandao, hususan kutembelea mitandao ya kijamii kama vile Faceboo, Twitter, Instagram, nk bado kuna uelewa mdogo wa mbinu mbalimbali ambazo laiti zikutumika zaweza kuleta ufanisi zaidi katika matumizi ya mtandao au mitandao hiyo ya kijamii.

Siku za nyuma nilikuwa nikiandika makala mbalimbali kuhusu teknolojia lakini kutingwa na majukumu kumesababisha ni we mzembe kidogo. Samahani kwa hile, maana linaathiri ile spirit ya 'Sharing Is Caring.'

Anyway, long story short, leo nina darasa fupi la jinsi ya kuangalia watu waliotembelea ukurasa (profile) wako wa Facebook. Ni suala la hatua kwa hatua, na nina hakika ukifuata kwa makini utaweza kuona nani ametembelea profile yako. Labda sio muhimu, lakini, hey, kuna watu wangependa kufahamu vitu kama hivyo.

Samahani, nimejaribu kutafsiri hatua hizo pichani kwa Kiswahili nimechemsha. Natumaini kimnombo kilichotumika sio kigumu, lakini ikitokea mtu hajaelewa vema basi nishtue nitajitahidi kutoa ufafanuzi kwa Kiswahili.


Kwa tafsiri isiyo rasmi waweza kusema hivi
  • Ingia katika ukurasa wako wa facebook(profile) kisha ‘right clik’ pembezoni kushoto mwa profile picture yako
    1539174408416.png

  • Baada ya ku-right click, chagua ‘view page source’ au tumia shortcut ‘ctrl+U’
    1539174493053.png
  • Utafunguka ukurasa mwingine utakaonekana hivi
  • 1539174563802.png

  • Katika ukurasa mpya uliofunguka tafuta maneno haya InitialChatFriendsList kwenye sehemu ya search au ctrl + F.
    1539174625546.png
  • Baada ya hilo neno kopi tarakimu 15 kabla ya alama ‘-2’
    1539174732920.png
  • Rudi kwenye ukurasa wako wa facebook andika ‘www.facebook.com/’ kisha pesti hizo tarakimu 15 mbele ya haya maneno www.facebook.com/
    1539174864500.png
  • Bonyeza search/ok au enter na utaona marafiki wa mwisho kutembelea profile yako cc:evarist chachali
 

Attachments

  • Capturei.PNG
    Capturei.PNG
    156.9 KB · Views: 30
  • 1539174474077.png
    1539174474077.png
    144.2 KB · Views: 25
C&P from Evarist Chachali

Tukubaliane kwamba japo wengi wetu twapenda kutumia mtandao, hususan kutembelea mitandao ya kijamii kama vile Faceboo, Twitter, Instagram, nk bado kuna uelewa mdogo wa mbinu mbalimbali ambazo laiti zikutumika zaweza kuleta ufanisi zaidi katika matumizi ya mtandao au mitandao hiyo ya kijamii.

Siku za nyuma nilikuwa nikiandika makala mbalimbali kuhusu teknolojia lakini kutingwa na majukumu kumesababisha ni we mzembe kidogo. Samahani kwa hile, maana linaathiri ile spirit ya 'Sharing Is Caring.'

Anyway, long story short, leo nina darasa fupi la jinsi ya kuangalia watu waliotembelea ukurasa (profile) wako wa Facebook. Ni suala la hatua kwa hatua, na nina hakika ukifuata kwa makini utaweza kuona nani ametembelea profile yako. Labda sio muhimu, lakini, hey, kuna watu wangependa kufahamu vitu kama hivyo.

Samahani, nimejaribu kutafsiri hatua hizo pichani kwa Kiswahili nimechemsha. Natumaini kimnombo kilichotumika sio kigumu, lakini ikitokea mtu hajaelewa vema basi nishtue nitajitahidi kutoa ufafanuzi kwa Kiswahili.
View attachment 891224
Mi. Kimombo ni mtuhan kwangu cjaelewa kabisaa
 
Hiyo inaonyesha marafiki waliopo online na sio walio tembekea profile yako. Walisha iprove.
 
Back
Top Bottom