Kwa watumiaji wa dstv!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwa watumiaji wa dstv!!

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by AKON, Aug 15, 2012.

 1. AKON

  AKON JF-Expert Member

  #1
  Aug 15, 2012
  Joined: Feb 10, 2012
  Messages: 218
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  hellow guys,!! hizi decoda za zuku, startimes na ting zinaningua saana, i want to abando them, can any one tell me!!

  dstv wana free channel ngapi?

  gharama yao ya kawaida (minimum) ni ipi na ina channel ngapi, na ni sh ngapi?

  wewe unapenda kujiunga na channel zipi, kwa sh ngapi?

  wana channel za kibongo ngapi?

  god bless you all!!
   
 2. Safari_ni_Safari

  Safari_ni_Safari JF-Expert Member

  #2
  Aug 15, 2012
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 22,471
  Likes Received: 5,852
  Trophy Points: 280
 3. mayenga

  mayenga JF-Expert Member

  #3
  Aug 15, 2012
  Joined: Sep 6, 2009
  Messages: 3,753
  Likes Received: 554
  Trophy Points: 280
  Free channel za DSTV mara nyingi ni CCTV,KBC,CITIZEN ,KBC na DISH.Ila usipolipa muda mrefu wanakata zote inabaki ya Dish tu.Ujinga mwngine wa hawa jamaa ni kwamba ukienda kulipa umechelewa wanakata pesa hata ya channel ambazo uliachiwa free kabla haujakatiwa.
   
 4. AKON

  AKON JF-Expert Member

  #4
  Aug 15, 2012
  Joined: Feb 10, 2012
  Messages: 218
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  yap thanks, but their details are too general. mfano wanakwambia sports channels, au move chnell,.? i hate that its not direct...
   
 5. AKON

  AKON JF-Expert Member

  #5
  Aug 15, 2012
  Joined: Feb 10, 2012
  Messages: 218
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  kunani kenya, mbona free channel zao tu, thanks na minimum subscription price ni9 ipi, ina channel zipi?, vipi channel za bongo kama star na tbc.?
   
 6. mayenga

  mayenga JF-Expert Member

  #6
  Aug 15, 2012
  Joined: Sep 6, 2009
  Messages: 3,753
  Likes Received: 554
  Trophy Points: 280

  DSTV kwa cahannel za Tz kuna TBC tu,labda kidogo na Africa Magic Swahili,wanaweka afilamu za kibongo!Minimum ni 10 USD ambayo ndo package ndogo.
   
 7. Mufiyakicheko

  Mufiyakicheko JF-Expert Member

  #7
  Aug 15, 2012
  Joined: Mar 24, 2011
  Messages: 893
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Channel za bongo ni TBC
   
 8. Safari_ni_Safari

  Safari_ni_Safari JF-Expert Member

  #8
  Aug 15, 2012
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 22,471
  Likes Received: 5,852
  Trophy Points: 280
  Piga 0787 760 096 ulizia masuala yote
   
 9. AKON

  AKON JF-Expert Member

  #9
  Aug 15, 2012
  Joined: Feb 10, 2012
  Messages: 218
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  kwa dola kumi,?? it might be cheap kuliko hawa zuku na michannel yao mibovu..
   
 10. Biohazard

  Biohazard JF-Expert Member

  #10
  Aug 15, 2012
  Joined: Aug 21, 2011
  Messages: 2,002
  Likes Received: 286
  Trophy Points: 180
  Package ya Chini kabisa inafluctuate kwenye 48,000/= hadi 50,000/= halafu inafuata ya 90,000/= halafu inafuata ya 128,000/= ambayo ni premium mkuu.

  Price hizo zina vary kutokana na Kupanda na kushuka kwa Dola. Though mwaka huu TZ currency imekua very stable kwa USD sababu rate inarange kwenye 1590-1620 kwa buying 1 USD.
   
 11. mayenga

  mayenga JF-Expert Member

  #11
  Aug 15, 2012
  Joined: Sep 6, 2009
  Messages: 3,753
  Likes Received: 554
  Trophy Points: 280

  Mkuu family ni 10 usd ambayo ni karibia Tsh 17000
   
 12. Kiherehere

  Kiherehere JF-Expert Member

  #12
  Aug 15, 2012
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 1,804
  Likes Received: 245
  Trophy Points: 160
  Magumashi ili kupata mazima dstv nafanyaje?? maana 128K ni kama wamewawekea matajiri tu....ni pm kama kuna magumash maaan
   
 13. Biohazard

  Biohazard JF-Expert Member

  #13
  Aug 15, 2012
  Joined: Aug 21, 2011
  Messages: 2,002
  Likes Received: 286
  Trophy Points: 180
  Kweli nimeiona kwa wadau hapo na ckuwa na idea na hiyo kitu mkuu. Kipindi nikiwa nahali mbaya mkuu mie huwa najitupia 48,000/= ila Premium is the Best
   
 14. M'Jr

  M'Jr JF-Expert Member

  #14
  Aug 15, 2012
  Joined: Jul 8, 2011
  Messages: 3,539
  Likes Received: 152
  Trophy Points: 160
  Dah mi natumia Bouquet inaitwa Compact Plus nalipia 80,000 kwa mwezi well ina channel nyiiiiingi sana including mpira ligi za EPL, La Liga, Serie A na zooote
   
 15. b

  blueray JF-Expert Member

  #15
  Dec 28, 2012
  Joined: Sep 15, 2012
  Messages: 2,219
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Tatizo ni kwamba inaekea serikali imeshindwa kuwaagiza Multichoice waweke na channel za bure za kibongo ambazo ni za kutaifa kama vile ITV na Star TV
   
Loading...