pascal luoga
JF-Expert Member
- Feb 23, 2019
- 232
- 257
Heri ya sikukuu ya Eid wapendwa.
Ishu kubwa nilikuwa naomba wenye ujuzi wanieleweshe, kuhusu mambo haya;
1. Ni kampuni gani nzur kwa shipping na wanaoenda na wakati ama kusave time?
2. Niliingia nikajaribu kufany kama nanunua kwa jumla cha ajabu nikakuta kitu kinauzwa mfano 20000/=tsh. Shipping 6000/=tsh. Lakini cha ajabu ukinunua vitu hivyo vya tsh 20000/= ununua 10 ama viwe 10 nilitegemea bei ya shipping iongezeke lakini cha ajabu unanunua vitu vingi lakini shipping bei haipandi ni ile ile 6000/= je! Kuna ukweli hapa ama uhalali nahofia kupoteza ela yangu.
3. Mfano Aliexpress standard shipping. Shipping yao ni 23-43 days inawezekana mizigo kufika kabla ya siku hizo 23? Maana weng husema kwamba mizigo huchukua siku 15 tu Mara nyingi?
Msaada juu ya hayo WAKUU?
Sent using Jamii Forums mobile app