Kwa watu wa kilimanjaro....

mitishamba

JF-Expert Member
Dec 21, 2011
697
111
Hata anayekwenda Hai, Same, Mwanga, Siha, Rombo...bado atakwambia anaenda moshi. ina maana jina lingine la mkoa wa kilimanjaro ni moshi? hapana. Halafu mbona kuna umbali mkubwa kati ya moshi na maeneo hayo mengine hapo juu.

Tafadhali taja jina halisi la mahali unakokwenda.

Vilevile hakuna wachaga bali kuna warombo, wasiha, wamachame, wakibosho n.k.

nipo napata brekfasti ya mchana.
 
lakini hpeful mtu akikwambia anaenda moshi unaelewa na unapata ujumbe,the rest doesent matter
 
Inakusaidia? Ukabila huanzia hapa! Sijui mrombo, mmachame sijui nini! Mkabila nini?
 
Inakusaidia? Ukabila huanzia hapa! Sijui mrombo, mmachame sijui nini! Mkabila nini?

Unauliza jibu?
Huyu jamaa kwa thread za Wachagga humuwezi. Sijui kuna dada yetu aliyemuibia mume au kaka aliyemuibia mke. . . ?
 
Hivi hii JF haiwezi kutugawa kwenye 'grade', yaani wenye akili tele, za kawaida, ndogo na sisi 'mambumbumbu'?
 
Kaka/dada ngoma si yako uivalie kibwebwe ya nini? Nipo kwenye basi naenda moshi sasahv!
 
Kwani nikikuambia naenda moshi unajuaje siendi moshi naenda hai,wewe ndo unatakiwa umuulize aliyekupa hlo jibu maswali ya kina?hilo la hakuna wachaga ni lako unalotaka kulianzisha kwani hakuruhusiwi kuwa na division kwenye makabila?wapo wachaga lakini wanatokea sehemu tofauti za mkoa huu mfano wapo wanaotokea machame,kibosho rombo na kwingneko mi naona ungesema hakuna mmachame bali kuna mchaga wa machame,kirua na kungineko,
 
Back
Top Bottom