Rogart Ngaillo
JF-Expert Member
- Apr 27, 2013
- 908
- 1,911
Napenda kuwatangazia wateja/wanunuzi wa viazi mviringo kutoka pande zote za Tanzania na nje ya nchi kwamba ninauza viazi kwa bei nafuu sana.
KIASI AU UKUBWA WA ENEO
Viazi bado viko shambani yaani bado havijavunwa (Picha hapo juu)...Ukubwa wa shamba ni hekari nne (4) na liko katika eneo linalopitika kiurahisi kwa magari ya kawaida na malori.
MAHALI VILIPO
Viazi vimelimwa wilayani Mbozi, mkoa mpya wa Songwe (Zamani-Mbeya)
Baada ya maelewano na hatimaye mteja kuridhika na bei, mteja itampasa kuja Mbozi maana shughuli za usafirishaji mzigo zitamuhusu yeye mwenyewe mteja.
KARIBUNI SANA!!!
Mawasiliano
0756647348