Kuna hii kitu wanasema dunia ina mizunguko miwili
1.rotation[rotates on its own axis]
2.revolution[revolves around the earth via eliptical orbit]
Sasa swali ni je mizunguko yote hiyo inatokea kwa wakati mmoja au kila mzunguko inatokea kwa muda wake
..submitted...
Yoshua 10
12 Ndipo Yoshua akanena na Bwana katika siku hiyo ambayo Bwana aliwatoa Waamori
mbele ya wana wa Israeli; akasema mbele ya
macho ya Israeli, Wewe Jua, simama kimya
juu ya Gibeoni; Na wewe Mwezi, simama
katika bonde la Aiyaloni.
13 Ndipo jua likasimama, na mwezi ukatulia,
Hata hilo taifa lilipokuwa limekwisha
jipatiliza juu ya adui zao.
Joshua aliomba, Mungu akajibu kwa
kusimamisha mzunguko wa matufe hayo siku
ikachelewa kuisha hata pale vita vilipomalizika.
Kwa kupitia andiko hili yawezekana jua lina zunguka dunia na sio vinginevyo,
ila ukisoma astronomy sayansi sio hiyo geografia ya kitoto tena, inasema kila kitu kilichopo angani kinazunguka around the center mass of the solar system, na jua lenyewe imebi proved kuwa linazunguka nalo na speed yake ni ( The Sun's orbital speed around the Galaxy: ~200 km/s (720,000 km/h, 450,000 mph)
Kwa hiyo hiyo theory yako
Sawa,
Dunia haizunguki Jua, bali Jua huzunguka Dunia,
Sawa Dunia sio Duara,
Sasa hilo Jua linalozunguka Dunia, linazungukaje kitu kisicho duara?