Hatuwezi kuwa sawa kifikra . Mimi binafsi pamoja na familia yangu tumedhamiria kupiga kura ya hapana kwa katiba iliyopendekezwa tukiwa na sababu maalumu.
Sasa tumekubaliana kushawishi marafiki ndugu, jamaa na marafiki kuipinga katiba hiyo ndani ya kijiji chetu.
Tunao uwezo kwa miaka mitano iliyopita tulijenga ushawishi na akachaguliwa mwenyekiti wa kijiji wa chadema , mwaka uliofuatia wa 2010 tukapigana tukapata diwani wa chadema.
Tutapigana kuhakikisha kura za hapana zinakuwa za kutosha hata kama kura za ndiyo nchi nzima zitashinda lakini hapa kwetu haitawezekani.
Kama utapiga kura ya hapana tuunge mkono kwa kuandika tu neno hapana , ili tulinganishe na wale wa ndio wepi watakuwa wengi.
NAWASHAURI mods wasimamie upigaji wa kura hii ya hapana pamoja na thread ya kura ya ndio itakayofunguliwa na wadau wa ndio ili tulinganishe matokeo yake kabla ya siku ya upigaji kura.
KARIBUNI WADAU.
Sorry kama ntakuwa nimetumia lugha kali kidogo,ila najitahid kupunguza ukali wa maneno. Napata Shaka na fikra zako kudhan kuwa wingi wa kura ya hapana au ndio ya kwenye jammii forum ambayo ni watu wenye laptop na cm za android pekee ndo wanaweza kukoment, waliobaki wakakoment wapi? Hapana ya kwenye jmii forum haiwez kutoa taswira halis , hata hivyo nadhani una element au chembechembe za kibaguz kwa mbali, kwann usiweke thread zote za kura ya hpana na ndio? Kwa hilo napata shaka na uwezo wako kuongoza endapo utakuwa kiongoz mkubwa ,unaweza kuligawa taifa kwa vitu vidogo tuhapana
Hatuwezi kuwa sawa kifikra . Mimi binafsi pamoja na familia yangu tumedhamiria kupiga kura ya hapana kwa katiba iliyopendekezwa tukiwa na sababu maalumu.
Sasa tumekubaliana kushawishi marafiki ndugu, jamaa na marafiki kuipinga katiba hiyo ndani ya kijiji chetu.
Tunao uwezo kwa miaka mitano iliyopita tulijenga ushawishi na akachaguliwa mwenyekiti wa kijiji wa chadema , mwaka uliofuatia wa 2010 tukapigana tukapata diwani wa chadema.
Tutapigana kuhakikisha kura za hapana zinakuwa za kutosha hata kama kura za ndiyo nchi nzima zitashinda lakini hapa kwetu haitawezekani.
Kama utapiga kura ya hapana tuunge mkono kwa kuandika tu neno hapana , ili tulinganishe na wale wa ndio wepi watakuwa wengi.
NAWASHAURI mods wasimamie upigaji wa kura hii ya hapana pamoja na thread ya kura ya ndio itakayofunguliwa na wadau wa ndio ili tulinganishe matokeo yake kabla ya siku ya upigaji kura.
KARIBUNI WADAU.
Sorry kama ntakuwa nimetumia lugha kali kidogo,ila najitahid kupunguza ukali wa maneno. Napata Shaka na fikra zako kudhan kuwa wingi wa kura ya hapana au ndio ya kwenye jammii forum ambayo ni watu wenye laptop na cm za android pekee ndo wanaweza kukoment, waliobaki wakakoment wapi? Hapana ya kwenye jmii forum haiwez kutoa taswira halis , hata hivyo nadhani una element au chembechembe za kibaguz kwa mbali, kwann usiweke thread zote za kura ya hpana na ndio? Kwa hilo napata shaka na uwezo wako kuongoza endapo utakuwa kiongoz mkubwa ,unaweza kuligawa taifa kwa vitu vidogo tu
Huyu jamaa ni kiongozi mzuri kwani kama unataka kubadili jamii aza na familia kisha spread the word to the society, halafu usiwe mnafiki kwa kigezo cha uongozi bora, if is no just bold it with up cases. Lazima wewe utakuwa ccm ambano ni wanafiki, sorry to say but message sent
Ndiyoooooooo!