Kwa watakao piga Kura ya hapana tu

Kwa watakao piga Kura ya hapana tu

ligera

JF-Expert Member
Joined
May 17, 2014
Posts
2,646
Reaction score
1,172
Hatuwezi kuwa sawa kifikra . Mimi binafsi pamoja na familia yangu tumedhamiria kupiga kura ya hapana kwa katiba iliyopendekezwa tukiwa na sababu maalumu.

Sasa tumekubaliana kushawishi marafiki ndugu, jamaa na marafiki kuipinga katiba hiyo ndani ya kijiji chetu.

Tunao uwezo kwa miaka mitano iliyopita tulijenga ushawishi na akachaguliwa mwenyekiti wa kijiji wa chadema , mwaka uliofuatia wa 2010 tukapigana tukapata diwani wa chadema.

Tutapigana kuhakikisha kura za hapana zinakuwa za kutosha hata kama kura za ndiyo nchi nzima zitashinda lakini hapa kwetu haitawezekani.

Kama utapiga kura ya hapana tuunge mkono kwa kuandika tu neno hapana , ili tulinganishe na wale wa ndio wepi watakuwa wengi.

NAWASHAURI mods wasimamie upigaji wa kura hii ya hapana pamoja na thread ya kura ya ndio itakayofunguliwa na wadau wa ndio ili tulinganishe matokeo yake kabla ya siku ya upigaji kura.

KARIBUNI WADAU.
 
kura ya hapana ndo mpango mzima. ila hiyo saccos yako unayoipigia promo hapa, big NO.
 
Ndiyoooooooo!
Ona hili gamba linachakachua kura ya hapana na kuwa ya ndiyo! Na ndiyo yenyewe ni ile ya ndiyooooooooooo kama yalivyozoea kule bungeni!

Ni laana kuwa na watu kama hawa,WEZI kuanzia rasilimali za taifa letu hadi kura za wananchi!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom