Kwa wataalam naombeni mnisaidie hili.

Robert kivuyo

Member
Sep 12, 2011
63
3
Mimi ni kijana under 30yrs niko na ndoa 2 yrs now,ila tatizo linalonisumbua nahis nampunja mwenzangu japokuwa hakuwah kulalamika ila ckuwahi kumckia akisema,baaac imetosha.Tatizo langu ni kuwahi kufunga magoli na kwa muda mfupi naweza kufunga magoli 5 ndani ya masaa 2 na kila goli moja nacheza uwanjani dakika 5 tu.JE ni kawaida au kuna tatizo na suluhu ni nn?
 
Back
Top Bottom