kwa wataalam: Kabla ya Kumla aandaliwe vipi? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

kwa wataalam: Kabla ya Kumla aandaliwe vipi?

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by MTWA, Nov 28, 2010.

 1. MTWA

  MTWA JF-Expert Member

  #1
  Nov 28, 2010
  Joined: Aug 5, 2009
  Messages: 1,024
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 145
  Kwa waume na wanawake,
  Kumekuwa na malalamiko ya watu kuparamia tu na kuanza kazi au kufanya maandalizi ya matunda kwa kuku. (Yaani hakuna kunyonyoa, ila kuosha na kula) Matokeo yake kila upande hauridhiki na kutoka nje. Huko tukionja mhhh! hutoki.

  Msaada jamani hasa kwa wadada,
  Ni yepi hasa yafanyike na mahali gani mhimu ili kuweka mazingira tayari kwa mechi?? Nywele? Chakula cha mtoto? kipaja? au vyote ........,..
   
 2. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #2
  Nov 28, 2010
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,035
  Trophy Points: 280
  mi nadhani kila mtu ana sehemu yake ambayo akiguswa huwa inamsisimua....mimi nadhani ni bora kuvunja ukimya na mwenzio ili muweze kuridhishana zaidi
   
 3. tzjamani

  tzjamani JF-Expert Member

  #3
  Nov 28, 2010
  Joined: Oct 9, 2010
  Messages: 997
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  MMh preta. :hungry: Kazi kweli hapa........
   
 4. Mama Mdogo

  Mama Mdogo JF-Expert Member

  #4
  Nov 28, 2010
  Joined: Nov 21, 2007
  Messages: 2,865
  Likes Received: 437
  Trophy Points: 180
  Mmmhhhh, hii mada ni sensitive na muhimu, na nina ushauri mwingi tu ningeweza kuchangia hii mada kama ingekuwa imebandikwa mapema (August, September, October 2010). Kwangu mimi Majilio karibu yanaanza nami sitaki kukwazika kutokana na kuchangia mawazo ya kitaalamu yatakayofafanua mambo ya ndani na nyeti kupindukia kuhusu maandalizi kwa mwanamme na mwanamke, nataka mwokozi akizaliwa anikute sina mawaa.
   
 5. M

  Mhango Member

  #5
  Nov 28, 2010
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 55
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hivi wewe ulishaona wapi mambo hayo yanautalaamu? watu hujifunzia hapo hapo, ngoja nikupe one mfano...mie nilikutana na SISTER doo mmoja, alikuwa anakata nyongo acha kila mtu alimtamani ili avunje nae ile amri yao, MUNGU si mkerewe wala ngosha nikawamwana lotto, I mean nikang'oa at the end sijisifii ila nasema what happened, tukaingia old trafford nikiwa muoga kuwa tatu bila itakula kwangu leo, Bwana eeehh mtoto wa KISUKUMA nikaanza kuisimamia kama baiskeli vile, nikaikamatia kama nacheza na jembe la mkono au lile PLAU, dakika 45 kwishneli draw zikaja zile 45 zingine BABA mwanadada akaaga aende msalani, sikumbuki ilikuwa saa ngapi ila sikumuona tena, next day aliponiona alibadili njia, sasa mkasa mwenyewe nikajiona naweza match kumbe bwana eeehhh, nikakutana na dogo tu, lkn believe me alinambia wazi wazi siwezi mambo, nilibaki naduwaaa maana yule mwingine alisema mie ni more than porn staaa...soo work one will tell u r good but other will oppose yu..
   
 6. boma2000

  boma2000 JF-Expert Member

  #6
  Nov 28, 2010
  Joined: Oct 18, 2009
  Messages: 3,283
  Likes Received: 155
  Trophy Points: 160
  kwa mara ya kwanza inabidi uchezeee kila sehemu ili kugungua sensitive parts ambazo siku ya mechi ya pili ndizo unakuwa unatilia mkazo sana na nyingine inakuwa unapitia kidogo kidogo kama vile unapokula chakula unakuwa na kila kiungo
   
 7. boma2000

  boma2000 JF-Expert Member

  #7
  Nov 28, 2010
  Joined: Oct 18, 2009
  Messages: 3,283
  Likes Received: 155
  Trophy Points: 160
  tuambia walau kidogo
   
 8. Zakumi

  Zakumi JF-Expert Member

  #8
  Nov 28, 2010
  Joined: Sep 24, 2008
  Messages: 4,817
  Likes Received: 327
  Trophy Points: 180
  Furaha pekee ya jamii masikini. Ndio maana hamuendelei.
   
 9. Mkeshahoi

  Mkeshahoi JF-Expert Member

  #9
  Nov 28, 2010
  Joined: Jan 4, 2009
  Messages: 2,494
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  U got it:whoo::whoo::whoo::whoo::whoo::whoo:
   
 10. T

  Tunga Member

  #10
  Nov 28, 2010
  Joined: Nov 22, 2010
  Messages: 74
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nadhani Preta yuko sahihi mno na kashamaliza kila kitu..........
   
 11. Mbaha

  Mbaha JF-Expert Member

  #11
  Nov 28, 2010
  Joined: Nov 26, 2010
  Messages: 697
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Jamani haya mambo yanahitaji utaalamu. Na hili sio siri limekua tatizo kubwa katika Jamii yetu. Watu wanachofanya ni kubakana tu. Na wahanga wengi ni wanawake katika tatizo hili. Kwa sababu wanaume sexual arousal huwajia haraka kuliko wanawake. Kwa hiyo mwanamke anahitaji maandalizi zaidi ukimlinganisha na mwanaume kabla ya tendo la ndoa. Kuna maeneo tisa (9) katika mwili wa mwanamke (erogenous zones) ambayo mwanaume inabidi uyashughulikie kabla ya kuanza kazi yenyewe. Maeneo yenyewe ni kama yafuatayo na yanashughulikiwa kwa mtiririko kama yalivyoorodheshwa: Nywele na mashavu (stroke & kisses), Shingo (kisses), Mabega (Stroke), Mgongo (Stroke up & down), Masikio (genttle ear lobe licking), Breasts (Nipple & areola licking), Kitovu (Stroke & licking), Mapaja-Inner thigs (Stroke), Clitoris (very genttle stroke). Hayo ndo maeneo 9 ya mwanamke yanayotakiwa kushughulikiwa kabla ya MECHI! Dakika 10 zinatosha kabisa kuyapitia maeneo yote hayo kwa maana ya dakika 1 kila eneo. Guys... If you do those things to a woman! You'll surely drive her crazy and She'll seldom forget you!
   
 12. B

  Bencom Member

  #12
  Nov 4, 2011
  Joined: Aug 1, 2011
  Messages: 7
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  We kama mada haikuhusu acha na chagua mada unayoona unapendezewa nayo then uichangie sio kuleta kashfa zako hapa. Ukubwa sio ndevu ni ufahamu wa mambo.
   
 13. mysteryman

  mysteryman JF-Expert Member

  #13
  Nov 4, 2011
  Joined: Aug 4, 2011
  Messages: 986
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  sawa sawa nimekupata
   
 14. B

  Bencom Member

  #14
  Nov 4, 2011
  Joined: Aug 1, 2011
  Messages: 7
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kama alivyoeleza mkubwa hapo juu kuwa kuna maeneo 9 muhimu ya kuyashughulikia nami nataka niongezee hapo hapo kuwa, kwa kuwa makini na unachokifanya mafanikio lazima yataonekana. Wakati unaendelea kuyachombeza hayo maeneo means limoja baada ya lingine jaribu kumwita kwa saut ya chini huku unaendelea. Mwongeleshe taratibu usikie anasemaje. Ukiona anakujibu bila kigugumizi ujue bada hujacheza vizuri na eneo husika. Fanya zoezi hilo mpaka unapomaliza kumchojoa nguo zote then yapitie tena kwa dk. 5 hapa ni akiwa mtupu. Ukimaliza chomeka msumari taratiiibu hadi uzame. Staili inayopendekezwa ya kuanzia ni kifo cha mende. Hii ni kwa kuwa umemlegeza sana na kumfanya ashindwe kuhimili swaili nyingine kwa muda huo. Anza kiki taratibu huku ukiongeza speed kidogo kidogo kisha changanya spidi. Baada ya kumwona katoa la kwanza badili staili na uende na staili uipendayo. Ukiufanya huu mchakato kwa mfululizo huo huwezi kosa heshima. Angalizo. Fanya haya kwa mke wako au mchumba wako. UKIMWI upo na hauonekani kwa macho.
   
 15. ndyoko

  ndyoko JF-Expert Member

  #15
  Nov 4, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 4,974
  Likes Received: 278
  Trophy Points: 180

  aiseee kumbe ndiyo maana huwa nag'ang'aniwa ili hali wakati sina kitu, mweeeeeeee! aisee mie huwa sikosi kupitia hayo maeneo yote kabla ya rigwaride. weweeeeeeeeeeeeeeeeeeee kumbe mie shujaaaaaa, hureeeeeeeeeeeeeee!
   
 16. fabinyo

  fabinyo JF-Expert Member

  #16
  Nov 5, 2011
  Joined: Aug 5, 2011
  Messages: 2,084
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 145
  hamna ushahidi kwenye haya mambo
   
 17. m

  majogajo JF-Expert Member

  #17
  Nov 5, 2011
  Joined: Oct 9, 2011
  Messages: 321
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  haya mambo yanautalaam mkuu..utalam wenyewew ndo huo uliopew na mbaha
   
 18. jonathan18

  jonathan18 JF-Expert Member

  #18
  Dec 26, 2012
  Joined: Dec 26, 2012
  Messages: 206
  Likes Received: 75
  Trophy Points: 45
  Jaman mghhhh

  Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
   
 19. w

  wajinawangu Senior Member

  #19
  Dec 26, 2012
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 128
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  nyona kisimi,ndo dawa kwisha kazi!
   
 20. M

  Mkwama One New Member

  #20
  Jan 5, 2013
  Joined: Jan 4, 2013
  Messages: 3
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  wewe upo sahihi kabisa
   
Loading...