Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 376,453
- 872,048
- Thread starter
- #21
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kwako Jini Mahaba,
Salaam,
ama baada ya Salaam mimi ni mzima wa siha muruwa, hofu na mashaka ni kwako wewe uliye mbali Na upeo wa macho yangu.
Disco dancer Na disco joker la dhumuni la barua hii ni kukuomba kibumbu.
Nasikia vya kwenu ni mnato halafu vya motooooooooo kama umedumbukiza ndizi kwenye microwave.
Tukutane jioni chini ya mwembe unipe hadi niseme you will kill me with your sweetness