Kwa wasiolijua jini mahaba

Kwa wasiolijua jini mahaba

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
376,443
Reaction score
872,046
IMG-20171222-WA0051.jpg
 
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kwako Jini Mahaba,
Salaam,
ama baada ya Salaam mimi ni mzima wa siha muruwa, hofu na mashaka ni kwako wewe uliye mbali Na upeo wa macho yangu.
Disco dancer Na disco joker la dhumuni la barua hii ni kukuomba kibumbu.
Nasikia vya kwenu ni mnato halafu vya motooooooooo kama umedumbukiza ndizi kwenye microwave.
Tukutane jioni chini ya mwembe unipe hadi niseme you will kill me with your sweetness
 
Mkuu mbona nasikiaga huwa niwazuri sana, huyo sio bar maid kweli
 
[emoji81][emoji81][emoji81][emoji81][emoji81][emoji1373][emoji23][emoji1373][emoji1373][emoji377][emoji377][emoji377]
 
Mkuu mbona nasikiaga huwa niwazuri sana, huyo sio bar maid kweli
Mkuu kwani barmaid si wazuri? Huku kwetu barmaid kawaida yao huwa wanavunja ndoa za watu kama tano hivi kwenda juu, kila siku, on avarage, on a good day! 😉😀😀
 
Kwako Jini Mahaba,
Salaam,
ama baada ya Salaam mimi ni mzima wa siha muruwa, hofu na mashaka ni kwako wewe uliye mbali Na upeo wa macho yangu.
Disco dancer Na disco joker la dhumuni la barua hii ni kukuomba kibumbu.
Nasikia vya kwenu ni mnato halafu vya motooooooooo kama umedumbukiza ndizi kwenye microwave.
Tukutane jioni chini ya mwembe unipe hadi niseme you will kill me with your sweetness
We jamaa,nimecheka sana.Akuue kwa sweetness ya ekhbhumbhu,kama yule wa Zambia?
 
Hahaaahaaaa......[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
Huyo ndie shemeji/wifi yenu
 
Back
Top Bottom