Kwa wasio oa wala kuolewa.

1.Ukiwa single raha sana huwezi kufulia..!!

2.Unaweza kumput any1 under ur controll, with No Strings Attached!

3.Waweza kula bata utakavyotaka,ukalala popote.

Weare 2gather ma broooooooooooooo.mia.
 
1.Ukiwa single raha sana huwezi kufulia..!!

2.Unaweza kumput any1 under ur controll, with No Strings Attached!

3.Waweza kula bata utakavyotaka,ukalala popote.

Yeaaaaaaaaaaaaaaaaah. weare 2gather.
 
Atajuaje ikikutosha raha yazawadi mpeane mkono wa asante. au unaonaje?

Mambo siku hizi rahisi zaidi kuna SIZE za nguo.

Size USA 8, UK 10(Ikiwa Victoria Secrets Lingerie, Light Pink, Nitampa honour ya kuivua!!! lol!) China 38!!!!!!!!! Asante itategemea na Ubora wa hiyo zawadi!!!!!!!
 
Mambo siku hizi rahisi zaidi kuna SIZE za nguo.

Size USA 8, UK 10(Ikiwa Victoria Secrets Lingerie, Light Pink, Nitampa honour ya kuivua!!! lol!) China 38!!!!!!!!! Asante itategemea na Ubora wa hiyo zawadi!!!!!!!

Mkono wa asante mtapeanaje??jitahidi uni pm ili mikono ishikane weweeeeeee.
 
Mkono wa asante mtapeanaje??jitahidi uni pm ili mikono ishikane weweeeeeee.

Mpaka acomfirm ni Victorias Secrets!!!!!!!!!! Chezea kitu imevalia na Kate Moss Run way!!!!! Akicomfirm si pm wala nini, naja mwenyewe mwenye kuchukua mzima mzima
 

heshima yako mzee
una busara sana babangu! ubarikiwe sana. . .
 
Kisilo ushauri wangu ni kwamba fuateni maadili hata kama mnayaona ya kizamani. Leo hii kwa mfano nchi zinazojiita zimeendelea zinahangaishwa na kuvunjika kwa familia na ndoa. Wanatamani wangekuwa na mila kama zetu. Hivyo kuweni na ambitions za kuishi maisha yanayokubalika kiutamaduni wako. Ukifika umri nenda jando au unyago soma then oa au olewa kuepuka kuishi kwa kumeza vidonge vya usingizi na madawa ya kupunguza mawazo.
 
Hiyo # 5 mmmmh siafikiani nayoo....People will not leave you alone!
 
hivi kuna siku unajikuta hauko answerable kwa yeyote whether umeoa, olewa ama lah?!
 
hasara za kuwa Single
  1. Kila ukilala dushelelee / kinu ni lazima kishtuke na hasa alfajiri.
  2. Lazima ulale chali na kuhesabu dari ili kuuvuta usingizi
  3. Paka wa jirani wakikweana nje au chumba cha pili lazima ukapige chabo
  4. Lazima upende Mume / mke wa mtu
  5. Hautampenda Single mwenzako kwa sababu unataka vya kunyonga
  6. Utachagua kila anayekatiza kwa kusoma plate No.
  7. Ukimpata Boss / Madam lazima utamuwekea wivu asirudi kwa Wife / Husb wake
  8. ukiugua hutapata matunzo,dawa au kugeuzwa kitandani sio lazima AIDS hata kuhara
  9. Ukifungwa jela kwa kung'ang'ania Mume / mke wa mtu hutatembelewa na mtu na huko....
  10. utakosa wakukulilia ukifa au Warithi wa jina au kukuita BABA /MAMA utakosa
  11. Tukikupeleka kwenye jeneza huwa tunashindilia GUNZI ili kukutambulisha hukuongeza ..
  12. NYUMBA YA MGUMBA HUWA HAINA MATANGA hata nguo ya ndani haigawiwi
  13. Nasikia hata huko tuendako mtaulizwa mlifanya kipi ili kuujaza ulimwengu????????????
 
Hiyo namba 7 si kweli. Ukiwa single kama ni mwanaume hakuna married man anakutaka karibu nae wala ummeet wife wake. Same for ladies, ukiwa single na kaumri kamesogea unaonekana mwizi mwizi tu hata ujiweke vipi,lol
 

Hadi lini?
 
Unajua kuoa kuna sababisha usitende dhambi ile ya Amri ya Sita.

Kama hujaoa basi usifanye wala kufikiria.

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 

Hahahaaaaaaaa! Umetumwa na PASTOR nini uje utoe ushuhuda wa kututishia MA SENIOR BACHELOR!!!!!!!!!!!!! Ushuhuda wako watishaaa kweli kweli ila HAUTISHI KAMA KUWA SINGLE BAADA YA DIVORCE!!!!!!!!!!!!! Wengine hatuolewi kwa kuchagua sana kuogopa kurudi in a similar position ila in different status!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…