Kwa wasio na mikopo vyuoni tu

Zidy

Member
Oct 5, 2011
29
4
Hivi vyuo vingine kwa nini hatuwi kama wenzetu wa udsm kutetea wanyonge wenzao? SUA na wengine hebu amkeni,boomless mpo wengi kushinda udsm
 
Nyie endeleen kulala tu na kutusimanga wana udsm eti wahuni na tunaotumiwa na wana siasa bt tunajua nini tunakipgania hapa.
 
mkuu mko sahihi sana..tatizo liko wapi kwa vyuo vingine??

huko kwingne wanafunzi labda wameridhka,zaman Sua nao walikuaga ni wagomaji wazuri tu bt siku hz wao wamenywea mazima.
 
Siku hizi migomo imeenea hapa nchini, kila kona ya nchi ni maandamano. Ushirikiano huu umeanza kutia mashaka kwamba kwa baadaye nchi haitatawalika, Mungu wangu! Mimi nashauri matatizo yanayoweza kuchochea migomo yashughulikiwe mapema.
 
mkubwa kunji litaendelea ama?

KUNJI liendelezwe mpaka warekebishe huo utaratibu na wawape wote mkopo wanaostahili na hiyo sababu ya bajeti kufika kikomo waiweke kwenye ziara na posho zao ila maswala ya kimaendeleo likiwemo la kusomesha wanafunzi wa elimu ya juu WASILIFANYIE MZAHA.
 
Nyie endeleen kulala tu na kutusimanga wana udsm eti wahuni na tunaotumiwa na wana siasa bt tunajua nini tunakipgania hapa.

historikaly changez beginz frm udsm,
nina uzoefu kwa miaka mitatu nilofundwa pale
 
mkubwa kunji litaendelea ama?

kunji ni non stop mkuu,j3 linaendelezwa ka kawaida hadi kieleweke,haiwezekani wadogo zetu washndwe kusoma elimu ya juu eti kisa Jk ameamua!!tunashangaa udom,ardhi na Sua mko kimya jaman,nyie ndo wapambanaji wenzetu ambao mnajua madhara ya kukosa bumu yakoje.
 
UDOM hakuna watu kaka wamekuwa wapole kama wamemwagiwa maji ya ukoko tembelea uone wana shida kibao ila wapo kimya mbaya.NILIKUWA HUKO SIKU 3 NYUMA.
 
kunji ni non stop mkuu,j3 linaendelezwa ka kawaida hadi kieleweke,haiwezekani wadogo zetu washndwe kusoma elimu ya juu eti kisa Jk ameamua!!tunashangaa udom,ardhi na Sua mko kimya jaman,nyie ndo wapambanaji wenzetu ambao mnajua madhara ya kukosa bumu yakoje.

TAHLISO wanasemaje? Tuwe serious na hili jambo,ili vyuo vingine viwe na taarifa
 
ifm......chuo cha matozi na masista na wauza sura unafikili wanaweza kuandamana.......
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom