Je, ni kweli madai ya ndugu yangu Msabato kuwa Dola ya Rumi inahusika na vita ya Israel na Hamas?

Uzalendo wa Kitanzania

JF-Expert Member
Mar 8, 2020
2,209
4,706
Ndugu zangu wa JF nawasalimu nyote

Naomba mnipe ufafanuzi wa jambo hili nilosikia kutoka wa Ndugu yangu aliye Msabato.

Ananiambia kwa kujiamini kuwa eti kwa makusudi maalumu na kwa werevu mkubwa Vatican ndiyo inahusika kuchochea na kuanzishwa vita vya Israel na Hamas.

Kwamba eti US na washirika wake wapo chini ya Dola la Rumi ambayo ndiyo Vatican!

Nimemuomba anipe ushahidi ameshindwa japo anadai hiyo ni siri kubwa sana.

Naombeni wenye ushahidi waumwage hapa HADHARANI Kwa faida yetu.

Asanteni sana.
 
Nimewah andika Mahali humu, Unajua Sisi wasabato, Mungu alitupa Jicho la Tatu .

Ndio Dhehebu pekee wanaoelewa Biblia Kisawasawa !!.



Ukweli ni kwamba, Siku Msikiti wa Al-Aqsa ambao ni sehem muhimu ya chanzo cha vita, ukiondoshwa na ambao Lazima uondoshwe , Ndio mtaelewa Vizuri nguvu ya RUMI kwenye mgogoro Huu !!.
 
Back
Top Bottom