Kwa hichi kipind cha lockdown (wale wapenzi wa siries)...

MUBIKU

JF-Expert Member
Oct 24, 2014
276
376
Mambo vipi wakuu? Mara baada ya kupitia lile group letu la series kiukweli nimeona nihitimishe kwenye huu uzi wangu.

Series nilizoangalia mpaka sasa na kuzipa nyota 5, ambazo pia nakushaur ukangalie ili usijutie bando lako ni kama zifuatazo:-

i/ Gangs of London, hii series ni kali sana ndugu yetu mwafrika mwenzetu,sope idris(Elliot) kaitendea haki sana hasa ktk uhusika wake humu bila kumsahau Mtanzania mwenzetu, LUCIAN MSAMATI jamaa anajua sana tangu kwenye Game of thrones mpaka huku.

ii/ For life, hii pia ni series kali sana kwa mtu yyte ambae ashawah kaa jela ataelewa huyu jamaa anavyojitahid kukabiliana na madui zake , pale ndo ambapo utajifunza mahali usipowez kutumia nguvu inakubid utumie akili tu na utafanikiwa.

iv/ Treadstone hii series ina balaa sna hasa kwa wale wapenz wa mambo ya CIA tafuta ungalie hutojutia

V/ Hanna season 2 , mda wwte inakuwa released hii pia ni kali sana mambo ya silento six yapo humo na techologia za kirashia ambazo ilimlazimu mmarekab a copy na dunia nzima


Ni nzur sna nakushaur km ni mwanaume hii series ni (Must see) kwa maana wanaume wte tumeumbiwa jela

My point of views:-
Kuna series kama Peaky blinder, imetokewa kusifiwa mnoo lakin mm binafsi ktk kuifatilia sijaona cha kujifunza, burudan, au msisimko maana ilifika kipnd nika dowload season zote 4 lakin nika zi delete.

Kama unahisi pia una yako kali share apo chini tuburudike.



Sent using Jamii Forums mobile app
 
24 hrs,
Sijui kwa nini nilichelewa kuiona hii series (Don't trust anyone
 
Back
Top Bottom