Kwa wapenzi wa Nigerian music

Kwa wapenzi wa Nigerian music

Kumbe nimedandia gari kwa mbele eeeh[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hahahaha ndioo

Mie nlikuwa nazungumzia kaburi langu la 2016 ulilonifukulia[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Habari zenu,


Kama title ilivyojieleza. Karibuni tukutane hapa.
yaan mm nikipita cku cjaskikiza nyimbo za hawa jamaa +234 nahis kuumw kichwa hakikai sawa
Kcee ft Tekno* Tender
Tekno*pana
, diana, only you, go, be. etc
Mr Eaz ft Tekno Short skirt
Tiwa sawage ft wizkid *Malo
Mr Flavour x pyno x runtown
Davido*Fia, Fall, If
Patoranking*Available
Rudeboy Okoye*Away
Kcee*pullover
Flavour * baby nayoka
Yemi *Koffi Annan
Wizkid x Flavour x Pyno * medicine
 
[emoji16] [emoji51] [emoji119] [emoji119]
Sasa Yemi alade anaimba kitu gani... ?? Si bora wema sepetu anaye fanya " movie " zinazo bamba.
oyo achen vibwanga vya kijinga apa tunapngelea nyimbo za Nigeria asa abar ya Wema imetoka wapi?? duu acheni ugonjwa wa kitanzania waaaaaaaaiiii mijitu mingine inaudh daaa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom