Hahahaha Usiniambie.....mwenzio nimejivuta vuta nisimalize haraka nikujua ikiisha imeishaa kumbee laaah.....Tumepatikanaππ
Mimi imenishinda kwangu..mnatumia browser gani?
Chrome Tena natumia mi boxMimi imenishinda kwangu..mnatumia browser gani?
Mimi imenishinda kwangu..mnatumia browser gani?
Yani nimebakisha epsode ya mwsho tuu iishe..ππππaah kumbe nimekukatishia uhondo nikajua ushaimaliza. Naona unaufaidi mzimu wa dokta shin kutwa kukodolea macho warembo. Mzimu unaenda kuogelea swimming pool,mzimu unadowea ice cream
Yani nimebakisha epsode ya mwsho tuu iishe[1QUOTE="Numbisa, post: 40501102, member: 403420"]
πππBabu anaona kapitwa sana na warembo, acha awafaidi
Nimepata na Fan mmoja huyo kila nnachoangalia lazma aje akipitie bas ananisumbua balaa zikishaishaaπ¬Babu anainjoy balaa hadi music wa kitaa anacheza zake wala hana stress
Nimepata na Fan mmoja huyo kila nnachoangalia lazma aje akipitie bas ananisumbua balaa zikishaishaaπ¬
historia ya uwepo wa heo jun haina tatizo lolote kwa sababu rekodi zote zinakubaliana na uwepo wake, kwa mfano ukisema heo jun hakuwepo tafsiri yake ni kwamba unapingana na uwepo wa kitabu cha tiba kinachotambuliwa na UNESCO alichokiandika mwenyewe kinachoitwa Dongui Bogam kikiwa na maana ya kiengereza Mirror of Eastern MedicineDuh!, Huyo mzee kumbe ni konki kiasi hicho, ndio maana series zake, zinastori nzuri na hazichoshi.
So Hur Jun na Dae Jang Geum hawa watu walikuwepo historically au mmoja wapo alikuwepo, na huyo wapili ni nyongeza ya Producer?
wakorea siku wanayochafukwa utawachukia, wana ujinga wa kuwajumuisha waafrika wote dhidi ya changamoto wanayotaka kuiwasilisha kwa njia ya sanaaa.Yan kuna ka feeling hata ikitajwa vipi unasikia raha kufahamika
Mask singer mmoja alivaa mask ya Serengeti tiger nikasema weuwee
Anaeweza kunisaidia kuipata Sound track ya THE VEIL, inaitwa "Reason" aliyeimba anaitwa Yoari. Nimeitafuta Youtube nimeipata ila sijui namna ya kuidownload, anaeyejua namna ya kuipakua anielekeze.
kwa uelewa wangu kwa hiyo kesi yako sidhani kama ni sahihi kutumia neno muendelezo (naruhusu masahihisho), nafahamu drama zote mbili zimeandikwa na muandishi mmoja na zimesimamiwa na director mmoja, pia nafahamu baadhi ya characters wanapatikana kwenye hizo drama zote mbili lakini bado haihalalishi kusema project B ni muendelezo wa project A.Anayejua muendelezo wa hizi series anisaidie nilianza kuangalia root of the throne nikapata muendelezo wake kwenye deep tree rooted inayofuata ndiyo nimeshindwa kuijua anayeifahamu anisaidie
Ila pia nahitaji historical korean drama nzuri maana hizi ndiyo nazikubali
So unataka niwafuate wao wanavyo taka.!!!?? Hao watu wote nani kawatoa akili? Ama ni ww mwenyewe.
Mimi nimesema Squid Game no overrated full stop, hayo mengine utajua ww. Ama umekurupuka ku reply kwa mtu mwingine.
πππaah hata mie nilimpa high class ni ongoing, umbea wote umemuishaππππππAwe anakuongezea kahela ka bundle. Napambana na hometown cha cha ni ongoing baasi mateso tupu kuisubiria
App gani hiyo mkuu na mie naomba connectionAsante mamie kwa ile app ulionipa najipakulia manyama ile mbaya nilichogundua ile tatizo la subtitle niliyokueleza ilikuwa ipo kwenye The veil pekee hasa episode ya 4.Hii app kiboko unapata mb ndogo na ina quality kubwa tofauti na ya server ile ya chini kabisa ya kisaasian.Yaani ningekuwa tupo face to face ningekukiss bibie kwa hii zawadi ulionipa mpaka najiuliza nilikuwapi kutoijua hii app basi chukua hiyona hii
Numbisa
Mkuu nakushukuru sana kwa kunipandishia hii OST hapa, aiseeh wakorea ni hatari sana linapokuja swala la kuteka hisia za mtazamaji.Hii OST iliendana kwa 100% na tukio la mwishoni mwa episode 2,mwanzo nilifikiri ni kwangu tu ila nimeiona ni wengi sana wamekuwa na mtazamo kama wangu.View attachment 1974675
bila ya impactful soundtrack kwenye drama husika, hiyo project inakuwa utopolo bwanaaa (kwa mtazamo wangu, nikiwa kama muathirika wa soundtrack)....
soundtrack sio tu zinatuletea hisia fulani kwa mujibu wa tukio labda huzuni, furaha, upendo, breakup, lakini baadhi ya nyakati pia huweza kutusaidia kuyakumbuka matukio yaliokwisha pita,
unaweza kuwa umelisahau tukio la drama husika labda ni kwa sababu umeangalia siku nyingi nyuma lakini soundtrack yake kama ipo kwenye kumbukumbu zako inaweza kukuletea miujiza usiyoitegemea kwa kuyakumbuka matukio hayo kana kwamba umewekewa screen mbele yako.
nikiusikiliza huo wimbo hunirudisha mwishoni mwa episode 2, namgoong alipokuwa anafukuzana na wauza madawa ya kulevya baada ya kufanikiwa kumtoa bosi wao kituo cha polisi, kuna mzuka fulani (goosebumps) hujizalisha nakujihisi ndiye mtendaji mkuu wa scene (uraibu ni mbaya sana).
=========================
Hivi wanafanya nini Ili kuendelea kuwa na muonekano wa vijana ilhali ni wazee? Na hili sio tu kwa wadada,nimeliona hata kwa wanaume. Utakuta mtu anapewa role ya usichana (na ni kweli anaonekana mdogo) ila ukifatila unakuta ana miaka 28-35 wakati huku kwetu watu wenye umri huo ni ma-mama kabisa.Reflection of You / Person Who Looks Like You drama: episode 1 imenivutia sana licha ya pace yake kuwa ni ndogo, ni aina ya zile drama unazoangalia kwa nusu saa baadae unatafuta kitanda, sports au chakula kilipo. Lengo kuu ni kuitafuta nguvu mpya itakayoshajihisha au kukuhamasisha kuendelea tena kuingalia project husika. Ni drama zinazohitaji uvumilivu kwa sababu ya upungufu wa matukio yatakayokufanya muda wote utamani kuyashuhudia.
Ngoja niisubirie episode 2, kwa masikitiko hii drama sijafanikiwa kuiona kwenye tovuti ya nkiri (imenibidi nirudi dramanice)
====================
Niwakumbushe tu huyu gong hyu jung ana miaka 50, wakorea walivyo na maajabu yanayochangizwa zaidi na matunzo yao ya ngozi pamoja na ulaji wao mwanamke mwenye miaka 50 unaweza kumwita dada (binti), huku kwetu upembani na ungujani mwanamke mwenye miaka 50 anaitwa bibi (kashaozesha mwanawe, keshajukuu).
ngozi imeshakunjana kama chapati ya bifatuma kibuno kwa sababu ya ukosefu wa matunzo ya mwili wake kwa kuanzia na lishe yake (kushiba hashibi, atapata nguvu ya kununua vipodozi), na mwanaume mwenyewe mfano wa daemushin muda wote yupo kibarazani anakunywa supu ya pweza lakini fedha ya kununua lotion kwa mkewe hana.
====================
Gyeoul (shin hyun bin) where are you?
nakuona humu ndani jinsi unavyomtambisha dada mkubwa (mishil), inaonekana kuna mkasa mkubwa sana unaowahusu wawili kati yenu uliotokea miaka ya nyuma.
=====================
Jeong Hui-Ju (Ko Hyun-Jung) had a poor and fierce time during her youthful days. She is now a successful painter and essayist. Her husband is the successor of a hospital and they have two children. Her family life seems enviable, but Jeong Hui-Ju feels like she spends her time meaninglessly. At that time, Jeong Hui-Ju meets a woman. The woman is poor, just like Jeong Hui-Ju in her younger days, but she still shines.